Used spea zinauzwa toka Japan

Used spea zinauzwa toka Japan

Turufuu

Senior Member
Joined
Dec 27, 2013
Posts
182
Reaction score
54
Nina ndugu yangu ameniomba nimtafutie wateja wanaotaka Spea za gari USED kutoka Japan kupitia Dubai, duka lake lipo Ilala lindi na shauri moyo
limeandikwa LUSAKA USED SPEA PARTS 0657617671 au 0773617671 anaitwa BADI duka lake lipo mlango watatu upande wa kulia wa gaeti la shule ya
Alharamain kama unaingia. Ana dili na spea zote za TOYOTA,NISAN,MITSUBISH,SUZUKI NA BAADHI YA SPEA ZA HONDA. Kwa wateja
waliopo mikoani wanaweza kuwasiliana nae kupitia namba hizo hapo za kwake, unaweza kufanya nae biashara kwa njia ya mawasiliano ukiwa huko
huko uliko na akaku2mia mzigo kwa njia ya mabasi au malori ya mkoa husika then wewe ukam2mia kwa njia ya TIGO PESA. ANASEMA UAMINIFU NI MTAJI USIOFILISIKA KWAKE, PIA KWAKE MTEJA C MFALME BUT NI SIHEMU YA MWANAFAMILIA YAKE.
 
Back
Top Bottom