Sasa shem we mwenyewe umesema kuwa mwenyewe spare hajaridhia kuiacha, kama hajaridhia kuiacha unategemea utaipataje?? Uiibe au? Na wizi wa spare part unafikiri ni rahisi? Yani ukaifungue mwenyewe anakuangalia tu? Uje uifunge mwenyewe anakuangalia tu? Afu gari lake litatembeaje sasa?
hahaha..... Konnie say something, hapo sijaelewa ndio salam ama? :sleepy:
:hand::A S-frusty:
Nyie wote wapendwa wangu, nilikuwa nawasalimu.
Ila nawakumbusha 'be eyes" maongezi yakizidi sana yanaleta ugonjwa. :mimba:
Kifaa gani hicho? Uume?
Kama spare yenyewe nimeiona inanifaa na nilipoitumia ikaonyesha ni imara na itadumu kwenye gari langu. Imekula kwake, at any cost. Kama vipi magari itabidi yagongane na unajua tena gari langu ni Landrover 109 lolWewe shem wewe vipi? Nimekwambia umeletewa spare part only to realise kua kumbe mwenyewe hajaridhia.... Hajaridhia bada ya kungundua uzuri bada ya kondolewa? Ama maybe sababu aliiweka pembeni hadi atapo hitaji? Ama tu sababu ya roho mbaya na uchoyo wala ahitaji! It does not matter....
Maana bana unapo kua na gari ama kifaa ni lazima ulitunze na ulitafutie hata mahala salama pa kulilaza.... Ukiibiwa spare part usishangae.... Hivo narudi tena kwenye swali.... What do you do?
Used vifaa hatuingizi kwa kugongagonga..
Kama spare yenyewe nimeiona inanifaa na nilipoitumia ikaonyesha ni imara na itadumu kwenye gari langu. Imekula kwake, at any cost. Kama vipi magari itabidi yagongane na unajua tena gari langu ni Landrover 109 lol
vipya havidumuKifaa ni "used" lakini bado kinauzwa kama "spare" na watu wenye kumiliki vifaa vya moto wanakimbilia "kukinunua"...! Mafundi wanakushauri eti ni bora ununue "used" kuliko "kipya"...!
Ni kwanini lakini?
Karibu tena. Ukiona spare imezubaa sehemu tafazali usisite kunitonya:crazy:Duu!! Nimeshiba.... Kua na siku njema ODM.....
Karibu tena. Ukiona spare imezubaa sehemu tafazali usisite kunitonya:crazy:
Shem spare ya kununua tu bila mpangilio sababu ipo cheap and available hua hazifai kabisa... Siku unataka kutumia ndio unagundua zipo in the same condition na ulo nayo na ulitupa tu pesa. Hivo sitakutonya..... Labda nione kabisa wahitaji na unatafuta within reason.
Alafu hujanitakia siku njema na mimi, nitakie haraka niondoke mimi... lol
Kifaa ni "used" lakini bado kinauzwa kama "spare" na watu wenye kumiliki vifaa vya moto wanakimbilia "kukinunua"...! Mafundi wanakushauri eti ni bora ununue "used" kuliko "kipya"...!
Ni kwanini lakini?
Hivi ni wewe ADi au kuna mtu kaiba PW yako?
Haya yanayoendelea tumeyazoea kwa akina Kongosho, Rejao, Mwali etc!!!
Babu DC!!
Hivi imekaaje kinachotumika ni used na kinachotumiwa ni used?
Uwe na siku njema sana shem wangu wa ukweli.Shem spare ya kununua tu bila mpangilio sababu ipo cheap and available hua hazifai kabisa... Siku unataka kutumia ndio unagundua zipo in the same condition na ulo nayo na ulitupa tu pesa. Hivo sitakutonya..... Labda nione kabisa wahitaji na unatafuta within reason.
Alafu hujanitakia siku njema na mimi, nitakie haraka niondoke mimi... lol
DC mbona hamna baya nililoongea....lol. Hapo ndio kwanza nilikua namuwek kwenye mstari.... Lakin hata hivo kwa heshima yako naondoka si post tena....