Used Projector for sale..!

Kaka Joni

Member
Joined
Oct 1, 2013
Posts
25
Reaction score
16
MODEL: PANASONIC PT-LB51U PROJECTOR


Projector hiyo hapo pichani inauzwa. Ni nzuri, nyepesi na ina display vizuri kwenye mazingira yoyote. Ina remote control, cables zote na begi lake la kubebea. Ina masaa zaidi ya 500 na haina tatizo lolote. Bei 400,000/= tu.
Piga / SMS / Whatsapp 0755033441 haraka.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…