Used laptop (haifanyi kazi) na Zantel CDMA OEM datacard vinauzwa

MwanaHaki

R I P
Oct 17, 2006
2,401
705
Kwa kuwa hapa ni pa matangazo madogo madogo, basi mie natangaza kuuza vitu vifuatavyo:

1) Laptop. HP Compaq NX6110. Haifanyi kazi. Hard-disk drive controller imekufa. Hizi NX series zilikuwa na kasoro toka kiwandani. Ina RAM 1GB, CPU Pentium M (sikumbuki speed, lakini iko fast), screen nzima, keyboard nzima, case nzima, CD-Writer nzima. Atakayeinunua anaweza kuitumia kwa spare parts. Nauza USD 500.00, or next offer.

2) Zantel CDMA OEM datacard. Nzima kabisa. Ila haifanyi kazi kwenye Linux. Zantel hawana support kwenye Linux kwa sasa. Mimi natumia Linux na Macintosh. Nitanunua USB CDMA modem kwa ajili ya Macintosh, sometime next week.

Ni hayo tu.

Mwenye kuhitaji anitafute kwa PM, tutadiscuss.

./Mwana wa Haki
 
Mzozo,

If indeed this was "scrap", a replacement screen wouldn't cost USD 390.000

-> http://www.screentekinc.com/HP_Comp...h--1400x1050-sxgaplus-laptop-lcd-screen.shtml

Kasome hapo.

I am selling the "used" laptop for USD 500.00. The Screen and CPU alone, and RAM are worth more than that.

If this is "scrap" then I should just go and dump it at Pugu, shouldn't I?

Oh, the Zantel OEM PCMCIA DataCard works fine... is that scrap, too?

Just tell me, and I will change the title of my post, from "used" to "scrap".

./Mwana wa Haki
 
Mwanahaki,

Labda sio scrap metal, lakini dola 500 kwa laptop mbovu ni noma, noma, noma!

Hususan kama hizo parts zenyewe ni za laptop ambayo ni mbovu toka kiwandani.
 
Kuhani

LOL

Replacement parts mara nyingi zinakuwa refurbished, si mpya.

So, kama dola 500 ni noma, basi, nitakaa nayo hii laptop mpaka pale nitakapopata hiyo dola 900 ya kununua MOTHERBOARD nyingine mpya, ambayo ni sawa na kununua LAPTOP MPYA!

Loooooooooooooooool!

./Mwana wa Haki
 
Babu noma kuuza scraper kwa dola 500 bora ufie nalo au umpe mwanao ajifunze.....we can get N800c for the same price or less na ikabiga mzigo...
 
Kwa kuwa hapa ni pa matangazo madogo madogo, basi mie natangaza kuuza vitu vifuatavyo:

1) Laptop. HP Compaq NX6110. Haifanyi kazi. Hard-disk drive controller imekufa. Hizi NX series zilikuwa na kasoro toka kiwandani. Ina RAM 1GB, CPU Pentium M (sikumbuki speed, lakini iko fast), screen nzima, keyboard nzima, case nzima, CD-Writer nzima. Atakayeinunua anaweza kuitumia kwa spare parts. Nauza USD 500.00, or next offer.

2) Zantel CDMA OEM datacard. Nzima kabisa. Ila haifanyi kazi kwenye Linux. Zantel hawana support kwenye Linux kwa sasa. Mimi natumia Linux na Macintosh. Nitanunua USB CDMA modem kwa ajili ya Macintosh, sometime next week.

Ni hayo tu.

Mwenye kuhitaji anitafute kwa PM, tutadiscuss.

./Mwana wa Haki

I hope this is one of the greatest JOKES!!!!
 
Kuhani

LOL

Replacement parts mara nyingi zinakuwa refurbished, si mpya.

So, kama dola 500 ni noma, basi, nitakaa nayo hii laptop mpaka pale nitakapopata hiyo dola 900 ya kununua MOTHERBOARD nyingine mpya, ambayo ni sawa na kununua LAPTOP MPYA!

Loooooooooooooooool!

./Mwana wa Haki

Its best if you keep it as a souvenir, correct me if am wrong... if you want to sell; for other parts if you are business minded try and sell them separately that way i guarantee you you will raise more money than selling it as a single unit.

Am you can buy a similar machine like that one and you keep the old one as spares...in case anything happens.

Pole kaka.
 
Back
Top Bottom