chakutu Member Joined Feb 23, 2018 Posts 75 Reaction score 64 Jul 17, 2018 #1 Naomba kujuzwa mwenye uelewa na kampuni ya magari yenye link (www.goo-net-exchange.com) juu ya uaminifu wao.
Naomba kujuzwa mwenye uelewa na kampuni ya magari yenye link (www.goo-net-exchange.com) juu ya uaminifu wao.
mendex Senior Member Joined May 13, 2015 Posts 175 Reaction score 277 Jul 17, 2018 #2 Mbona kama hawa import tanzania
mendex Senior Member Joined May 13, 2015 Posts 175 Reaction score 277 Jul 17, 2018 #3 Ila wa magari mazuri
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 63,231 Reaction score 96,130 Jul 17, 2018 #4 Hakuna mpinzani wa BEFORWARD katika Import ya magari.
kirumonjeta JF-Expert Member Joined Feb 9, 2008 Posts 3,966 Reaction score 1,968 Jul 17, 2018 #5 chakutu said: Naomba kujuzwa mwenye uelewa na kampuni ya magari yenye link (www.goo-net-exchange.com) juu ya uaminifu wao. Click to expand... Mkuu ningeshauri tumia mitandao yenye mawakala hapa Tanzania kama Be Forward nk. Hawa wengine unaweza poteza hela yako.
chakutu said: Naomba kujuzwa mwenye uelewa na kampuni ya magari yenye link (www.goo-net-exchange.com) juu ya uaminifu wao. Click to expand... Mkuu ningeshauri tumia mitandao yenye mawakala hapa Tanzania kama Be Forward nk. Hawa wengine unaweza poteza hela yako.
chakutu Member Joined Feb 23, 2018 Posts 75 Reaction score 64 Jul 17, 2018 Thread starter #6 kirumonjeta said: Mkuu ningeshauri tumia mitandao yenye mawakala hapa Tanzania kama Be Forward nk. Hawa wengine unaweza poteza hela yako. Click to expand... Sawa Mkuu nashukuru kwa ushauri. Naomba unijuze mitandao mengine yenye mawakala Tanzania kama unafahamu
kirumonjeta said: Mkuu ningeshauri tumia mitandao yenye mawakala hapa Tanzania kama Be Forward nk. Hawa wengine unaweza poteza hela yako. Click to expand... Sawa Mkuu nashukuru kwa ushauri. Naomba unijuze mitandao mengine yenye mawakala Tanzania kama unafahamu
chakutu Member Joined Feb 23, 2018 Posts 75 Reaction score 64 Jul 17, 2018 Thread starter #7 King Kong III said: Hakuna mpinzani wa BEFORWARD katika Import ya magari. Click to expand... Ila hawa Mkubwa wana Idadi kubwa ya magari kwenye stock yao
King Kong III said: Hakuna mpinzani wa BEFORWARD katika Import ya magari. Click to expand... Ila hawa Mkubwa wana Idadi kubwa ya magari kwenye stock yao
chakutu Member Joined Feb 23, 2018 Posts 75 Reaction score 64 Jul 17, 2018 Thread starter #8 mendex said: Ila wa magari mazuri Click to expand... Ni kweli mkubwa wana magari mazuri sana
kirumonjeta JF-Expert Member Joined Feb 9, 2008 Posts 3,966 Reaction score 1,968 Jul 17, 2018 #9 chakutu said: Sawa Mkuu nashukuru kwa ushauri. Naomba unijuze mitandao mengine yenye mawakala Tanzania kama unafahamu Click to expand... Be Forward,Enhance AUTO,na wengine wapo offisi zao pale NHC house Samora
chakutu said: Sawa Mkuu nashukuru kwa ushauri. Naomba unijuze mitandao mengine yenye mawakala Tanzania kama unafahamu Click to expand... Be Forward,Enhance AUTO,na wengine wapo offisi zao pale NHC house Samora
chakutu Member Joined Feb 23, 2018 Posts 75 Reaction score 64 Jul 17, 2018 Thread starter #10 kirumonjeta said: Be Forward,Enhance AUTO,na wengine wapo offisi zao pale NHC house Samora Click to expand... Nashukuru sana kwa kunijuza
kirumonjeta said: Be Forward,Enhance AUTO,na wengine wapo offisi zao pale NHC house Samora Click to expand... Nashukuru sana kwa kunijuza