Use to help!tigo sim cards plus modems.4 gb free,3 g ever super speed! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Use to help!tigo sim cards plus modems.4 gb free,3 g ever super speed!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by john leonard, Jul 4, 2012.

 1. john leonard

  john leonard Member

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  .
  HI JAMII FORUM.
  ITS MA HOPE YOU DALL OING GOOD.KUTOKANA NA UKOSEFU WA AJIRA NCHINI,NDUGU YENU NIMEAMUA KUJIAJIRI HUSUSA KATIKA cha mawasiliano,MTANDAO WA MAWASILIANO ya kampuni TIGO!KWA KUWA NI FAIDA KWETU KUWA NA MAWASILIANO,SI BORA TUU MAWASILIANO BALI MAWASILIANO BORA NA YAKUMJALI MTU NA KIPATO CHAKE NA KWA MATUMIZI NAFUU YA MTEJA!

  UTAKAPO NUNUA MODEM NITAKAYOKUUZIA,UTANIAKIKISHIA AJIRA NA KUKABILIANA NA MAISHA MAGUMU NA KUTIMIZA MALENGO BINAFSI,KWA TAIFA NA HATA KIULIMWENGU!

  UTAPATA 4GB FREE!
  SPEED YA UHAKIKA!
  BADO UTAKUWA UNASAIDIA.

  BEI YA MODEM NI SHILING 30,000 tsh.

  pia natengeneza SPECIAL NUMBER,ni namba nitakayo kufananishia na mtandao wako unaotumia.

  PEASE CALL IF YOU will NEED MA PRODUCT.

  CELL(0717865972).
  EMAIL(jleonny@myopera.com
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Nimeona modem za tigo na zina speed nzuri, je uko Arusha, uniletee mbili...
   
 3. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Niko IKIZU huku ntapataje hizo modem za tigo, pia ambatanisha maelezo kama madaktari nimeze marangapi kwa siku, au ni modemu zike za kutafuna?
   
 4. KML

  KML JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kuna internet ilio slow kama tigo????
  sitaki ata kuickia inakera sana
  najuuutaa kununua modem ya tigo
   
 5. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #5
  Jul 11, 2012
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  tigobomu
   
 6. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #6
  Jul 11, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,413
  Likes Received: 6,600
  Trophy Points: 280
  natumia tigo net in my 4n iko fast mbaya
   
Loading...