Tumia usaidie.3GB FOR FREE!Tigo modems on sale! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tumia usaidie.3GB FOR FREE!Tigo modems on sale!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by john leonard, Jul 7, 2012.

 1. john leonard

  john leonard Member

  #1
  Jul 7, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu wana jamii forum,kama mtanzania ninaetafuta jibu la ukosefu wa ajira nimeamua kujiajiri binafsi chini ya mtandao wa tigo!
  Nauza modems za tigo zenye speed ya kushangaza.kwani its ever fast.network ya 3G.UNUNUAPO MODEM TOKA KWANGU UTAKUWA UMESAIDIA KUNIWEZESHA KIKIPATO KWANI NITALIPWA 20% ya utakacho tumia.nauza pia line za tigo,ama kuchonga special number,ni namba zifananoyo na namba ya mtandao utumiao,ama namba yeyote utakayo.tunawafikishia huduma nilizozisema hapo juu sehemu yoyote ulipo ndani ya arusha,eitha nyumbani ama ofisini!

  KWA MAWASILIANO YA HUDUMA HII TAFADHALI PIGA SIMU NAMBA 0717865972 ama email:jleonny@myopera.com

  asante kwa ushirikiano wako,nunua huku ukisaidia.
   
 2. knaan

  knaan Senior Member

  #2
  Jul 7, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  sh ngapi kaka hy modem
   
Loading...