USD v TSHS as for today

USD v TSHS as for today

mpondamali

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2011
Posts
502
Reaction score
176
Hii ndio hali ya tshs yetu...inazidi kuporomoka dhidi ya US DOLLAR....Je ni nini hasa kimekolezea kuporomoka kwa shillingi? Ni uchumi ama nchi za wafadhili kusita baada ya tamko la EU almaarufu UMOJA WA ULAYA?
IMG-20181116-WA0033.jpeg
Screenshot_20181116-133416.jpeg
 
Na bado, itafika hadi laki kwa dola moja.

Ya Zimbambwe taratibu yanahamia kwetu.
Hapana bwana!! Uchumi unakua kwa kasi ati... Unacheza na awamu ya kununua ndege cash wewe?? Soon tuna kwenda kuwa Taifa linalo toa misaada kwa mataifa mengine..
 
Unafikiri ikifika huko wewe utapona? Ni jambo baya sana kuliombea mabaya taifa lako.
Yawezekana nisipone, lakini mimi sina namna ya kuzuia tusifikie huko, tuliowapa dhamana ya kutuongoza kwakujua ama kutokujua walifanyalo haya ndio matokeo yake.

Sifa za ajabu hasa kwenye mambo ya kisheria yasiyohitaji siasa.

Halafu tunaambiwa tutembee vifua mbele, kwa lipi ama yepi??

Mbinu za kuongoza serikali ya mtaa ikitumika kwa serikali kuu unategemea nini???
 
Nchi ya viwanda. Nilimsikia Rais akisema tangu aingie madarakani kuna viwanda vipya 3,600. ila sijasikia viko maeneo gani. Ukitaka kujua usanii ingia Tanzania ujionee
 
Ina maana watu hatutaki kuangalia trend ya UDS Vs TSH au shida iko wapi?

Dec 2005: 1$= Tsh. 1016
Dec 2010: 1$= Tsh. 1493.91
Dec 2012: 1$= Tsh. 1573.46
Dec 2015: 1$= Tsh. 2159.07
Dec 2017: 1$= Tsh. 2180.01
Nov 2018: 1$= Tsh. 2298.40

Ni wapi tangu 2005 shilingi ilikuwa strong Vs dollar?
 
Ina maana watu hatutaki kuangalia trend ya UDS Vs TSH au shida iko wapi?

Dec 2005: 1$= Tsh. 1016
Dec 2010: 1$= Tsh. 1493.91
Dec 2012: 1$= Tsh. 1573.46
Dec 2015: 1$= Tsh. 2159.07
Dec 2017: 1$= Tsh. 2180.01
Nov 2018: 1$= Tsh. 2298.40

Ni wapi tangu 2005 shilingi ilikuwa strong Vs dollar?
Yeah kutokana na mabiliko mengi kutokea duniani,vita dhidi,ukame,mabadiliko tabia nchi na hali ya hewa...lkn Bado tumeshindwa kwenda speed kiuchumi Wa dunia tuliyonayo kwa karne hii...
 
Back
Top Bottom