Huwa zinauzwaje mkuu?Nenda maduka ya computer accessories nunua USB to FEMALE HDMI CARD halafu nunua na cable ya MALE HADMI TO HADMI hapo utakuwa umesha jiijibu hitaji lako mkuu.
Huwa zinauzwaje mkuu?Nenda maduka ya computer accessories nunua USB to FEMALE HDMI CARD halafu nunua na cable ya MALE HADMI TO HADMI hapo utakuwa umesha jiijibu hitaji lako mkuu.
Zinaanzia 40,000/= hadi 100,000+ kutegemeana na idadi ya output HDMI na product pia ni kampuni ganiHuwa zinauzwaje mkuu?
Mkuu kuna kidivice job tulinunua USD 500 kwa ajili ya laptop Kama ya huyo haina port ya HDMI ila hicho kidevice ni kwa kila kila kifaa chenye port ya out kinapokea na kurusha kwenye TV au projectorsZinaanzia 40,000/= hadi 100,000+ kutegemeana na idadi ya output HDMI na product pia ni kampuni gani
USB to HDMI FEMALE ADAPTERS zinauzwa kuanzia 40,000/ + kwa maduka yetu hpa bongo inatoa HDMI OUT ambayo ndio unaweza chomeka cable kwenda kwenye tv yenye HDMIMkuu kuna kidivice job tulinunua USD 500 kwa ajili ya laptop Kama ya huyo haina port ya HDMI ila hicho kidevice ni kwa kila kila kifaa chenye port ya out kinapokea na kurusha kwenye TV au projectors
nahitaji kwa ajili ya kutoa video/ppt/ms/ kutoka kwenya laptoap kwenda hata kwenye projectorHebu elezea matumizi yako ni kwa ajili ya nini haswa? Usije ingia chaka... Maana USB to HDMI huwa haifanyi Kazi kwa direct cable to cable sababu between huwa na device kwa ajili ya aina kazi uitakayo..
Sasa hapo unahitaji cable tofauti kabisa mbona USB haiwezi peleka direct picha kihivyo.. Laptop yako tazama Ina output ya port ya aina gani Kama Ina HDMI ni very simple cable zipo tele kuanzia mita moja. Na Kama Ina port ya VGA nayo cable kibao vga to HDMI au VGA to VGA maana na projecter yako iwe na port hizi either HDMI au VGA port ni simple ila Kama laptop yako haina VGA aut au HDMI aut Ina USB pekee kuna device sema vina bei Kali utakinunua na cable pia utahitaji.. Na pia kuna kuwa na software yake kusupport ifanyekazi.nahita
nahitaji kwa ajili ya kutoa video/ppt/ms/ kutoka kwenya laptoap kwenda hata kwenye projector
Mkuu nipm namba yako nikutafute tufanye biasharaView attachment 492114ipo Dar Mkuu ni universal simu nyingi zenye support ya MML kwenye simu inafanya Kazi fresh pia inacharge pia
Nahitaji mkuu nicheki 0716863406Mkuu me ninayo ile ya kuunganisha na simu yaani Display ya Simu inahamia kwenye TV yenye HDMI huku USB cable in a act Kama charger sometime bila adopter ya umeme lakini.. Bei elfy 20 tu. Siitumii tena TV imeharibika port ya HDMI radi ilipiga. Kwa kuwa TV inaonesha sihitaji HDMI anymore
Duka lipo mtaa gani na kinaitwaje?USB to HDMI FEMALE ADAPTERS zinauzwa kuanzia 40,000/ + kwa maduka yetu hpa bongo inatoa HDMI OUT ambayo ndio unaweza chomeka cable kwenda kwenye tv yenye HDMI
Kama lengo ni kutaka kudisplay mambo ya kwenye laptop kwenye screen yako tafuta VGA to HDMI ukibisha utakuja mwenyewe hapa,Mimi nahitaji cable ya kutoka kwa laptop isiyo na port ya hdmi kwenda screen yenye hdmi port....
Mkuu kama kitu hukijui bora utulie ili ujifunze mkuu ,Kama lengo ni kutaka kudisplay mambo ya kwenye laptop kwenye screen yako tafuta VGA to HDMI ukibisha utakuja mwenyewe hapa,
SWALI: Kwanini nakwambia ni VGA to HDMI?
JIBU: Chunguza jinsi projector inavyofanya kazi na uchunguze huwa inaungwa vipi, unachotaka kukifanya hakitofautiani na kuunga projector.
Ukitumia USB to HDMI hata ukienda koromije kutambika hutafanikiwa