USB to HDMI cable inahitajika

SALADY

JF-Expert Member
May 8, 2015
220
196
HDMI TO USB CABLE INAHITAJIKA . NIKO SINGIDA PM FOR MORE INF.

51dCkn-zYdL._SX425_.jpg
 
Mkuu me ninayo ile ya kuunganisha na simu yaani Display ya Simu inahamia kwenye TV yenye HDMI huku USB cable in a act Kama charger sometime bila adopter ya umeme lakini.. Bei elfy 20 tu. Siitumii tena TV imeharibika port ya HDMI radi ilipiga. Kwa kuwa TV inaonesha sihitaji HDMI anymore
 
OK HEBU NIWEKEE PICHA YAKE NIIONE HIYO CABLE NA UNAPATIKANA WAPI
 
Hebu elezea matumizi yako ni kwa ajili ya nini haswa? Usije ingia chaka... Maana USB to HDMI huwa haifanyi Kazi kwa direct cable to cable sababu between huwa na device kwa ajili ya aina kazi uitakayo..
 
Mimi nahitaji cable ya kutoka kwa laptop isiyo na port ya hdmi kwenda screen yenye hdmi port....
 
We pro-Bashite acha kiherehere cha kuvamia kila thread ukizani anasemwa Boflo wako Bashite. Tulia huko cocochanel

Sasa wewe ambae hujui anaongelea nini ndio ujijui ukoje ha ha ha haaaaaaaaa

Kagugo sasa hivi ujielimishe, hapo ni hata kama unajua anaongelea nini eeeeeeh
 
Mkuu me ninayo ile ya kuunganisha na simu yaani Display ya Simu inahamia kwenye TV yenye HDMI huku USB cable in a act Kama charger sometime bila adopter ya umeme lakini.. Bei elfy 20 tu. Siitumii tena TV imeharibika port ya HDMI radi ilipiga. Kwa kuwa TV inaonesha sihitaji HDMI anymore
Sina hakika kama ni hiyo
 
Mimi nahitaji cable ya kutoka kwa laptop isiyo na port ya hdmi kwenda screen yenye hdmi port....
Nenda maduka ya computer accessories nunua USB to FEMALE HDMI CARD halafu nunua na cable ya MALE HADMI TO HADMI hapo utakuwa umesha jiijibu hitaji lako mkuu.
 
Back
Top Bottom