USB Flash: WENYE UZOEFU NA HILI TATIZO NISAIDIENI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

USB Flash: WENYE UZOEFU NA HILI TATIZO NISAIDIENI

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by BASHADA, Apr 4, 2012.

 1. BASHADA

  BASHADA JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 487
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Jamani, nina usb flash sandisk 8gb. Nilinunua muda si mrefu. Tatizo lake kila nikiingiza kwenye laptop wakati inafunguka inachukua muda, panatokea green colour kwenye bar from left to right. Mpaka rangi ile ipite ndo flash inakuwa tayari, ila hapo hapo inabadilika kuwa fat32, (not recognised). Nikifungua inakuwa haitambuliki. Nikitoa na kuingiza tena the same thing happen.
  Nifanyeje?
   
 2. Paw

  Paw Content Manager Staff Member

  #2
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,032
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Mkuu,
  irejeshe pale uliponunulia wakupatie nyingine.

   
Loading...