USB Flash: WENYE UZOEFU NA HILI TATIZO NISAIDIENI

BASHADA

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
513
148
Jamani, nina usb flash sandisk 8gb. Nilinunua muda si mrefu. Tatizo lake kila nikiingiza kwenye laptop wakati inafunguka inachukua muda, panatokea green colour kwenye bar from left to right. Mpaka rangi ile ipite ndo flash inakuwa tayari, ila hapo hapo inabadilika kuwa fat32, (not recognised). Nikifungua inakuwa haitambuliki. Nikitoa na kuingiza tena the same thing happen.
Nifanyeje?
 
Ningekuwa karibu nawe ningekuambia chomeka kwa Linus apa tuone shida!
Kitakuwa kirusi tuu icho kama huna cha kuloose unaweza iformat but if not tafuta watu wenye anti virus ya ukweli scan.
 
Probably ni virus,,kuscan kwa anti virus ni vizur lakini siyo ya kuaminika sana coz virus wengine vimeo ka vp tafuta mtu mwenye apple or linux akusaidie kuiformat then kila kitu kinakuwa fresh kabisaa
 
inabid uingize flash yako kwenye laptop then ikisoma option my computer,then zikitokea option click manage,then nenda kwenye disk management hiyo flash yako itaonekana huko,baada ya hapo format,halaf badilisha the name of disk volume kama ni F eka G na hapo flash yako itakuwa active bila tatizo lolote!

> >jarib hivyo,ikishindikana nitafute!by bwilomzazi from technomax!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom