usb device not recognized

mojoki

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
1,313
Reaction score
291
Ndugu wadau hope mmeamka poa...
Naomba mwenye utaalamu anijulishe message yenye huo ujumbe "USB DEVICE NOT RECOGNIZED" kila dk kwenye laptop yangu inajotokeza japo device niliyokua najaribu kuiconnect nimeshaichomoa na kuweka nyingine (device) ambayo inafanya kazi lakini bado message hiyo inajitokeza...I want to know how can i stop that disturbance.
 
m2 wangu hebu jaribu kuizima halafu washa tena kama tatizo litaendelea bac 2subiri wataalamu wengine.
 
mkuu ukiona hiyo notification inaendelea! ingia net download software inaitwa booster1 scan pc yako for errors! kama hauna mkwanja! we vunga unaitry then ukimaliza iuninistall!
 
mkuu ukiona hiyo notification inaendelea! ingia net download software inaitwa booster1 scan pc yako for errors! kama hauna mkwanja! we vunga unaitry then ukimaliza iuninistall!
Mkuu tufafanulie zaidi, nahisi hata mimi pia nina tatizo linalofanana na hilo.
 
Kupitia rafiki yangu mkubwa google kaeleza kwenda kwenye http://answers.microsoft.com/en-us/...pping-up/6be4581d-8fbd-407f-815e-b475c35ca586forum hii ya microssoft. Comment ya mchangiajimtaalam johnkelly46 imepewa kura nyingi na inaonekana imetatua tatizo kama hilo kwa wengi .

Yaani kifupi unatakiwa kudischarge kabisa kompyuta yako

Thanks to google hata zing anaweza kuwa mtaalam .


Good luck
 
kama ni aiwo au sony chukua cd yake uliyonunua pamoja nayo afu insert kwa drive yako afu kama ikiendelea hakikisha kuwa unatuma modern number pamoja na serial number kwa nxt thread tuangalie namna ya kukusaidia kwa kuwasiliana na kiwanda husika cha hyo laptop yako...tuma kama kiwanda kipo nje ya uchina,na basi kama ni china finished yake iwe japan au germany
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…