KALYANKOZILE
Member
- Apr 24, 2013
- 19
- 1
Kumekuwa na kamtindo ka wanaume kutopenda au kutojaribu kutumia njia za kunogesha tendo la ndoa, hasa pale wanapokuwa hapendi kupata mtoto kwa wakati huo.Kwa mfano vipo vidonge kwa wanaume ambavyo huzuia kutungisha mimba lakini sasa 99.9% hawatumii na hawako tayari kutumia vidonge hivyo na asilimia 42.2% wanapenda kutumia kondomu lakini na hawa bado wana haya,wapo ambao utumia nguvu na kuwaumiza wengi wao hasa ambao ni Bikira bado na baadhi utumia nguvu zaidi na kupelekea kupasuka kwa kondom na kusababishia madhara msichana au mwanamke na neno hili "kama unampenda utamlinda" ndipo hugeuka "Kama umpendi utamuua"!!!! na hapo hapo mwanamke au msichana amekuwa akitupiwa au akilaumiwa kwa kutotumia njia za kuepuka kupata mimba zisizotakiwa mfano vithibiti mimba,kulazimishwa kutoa mimba,Kufungwa kizazi ,kudungwa sindano,kutumia vidonde vya majira,na asilimia 82.3% hawapendi kutumia kondomu za kike kutokana na kukosa elimu ya kuzitumia na upatikanaji wake kuwa shida n.k ambapo njia zote hizo huwapelekea kupata maradhi mbalimbali kama kubreed freequently (Bila kupumzika) mwaka hadi mwaka, kansa nk.Njia nzuri ya kuepuka kuraumiana ni kutumia njia ya asili (Free days) na si njia nyingine zinazosababisha madhara.Pia baadhi ya wanawake wameenda mbali katika kuakisha kuwa kunakuwa sawia kwa kumia madawa ya kunenepesha ipusi,kusimamisha chuchu.Karibu tudajili hili ila ikumbukwe kuwa lengo langu si kuleta kufungika kwa amani kwa wale ambao wako katika penzi bali ni kutaka kuboresha penzi na kuepusha madhara yasiyo ya lazima."UKWELI UTAKUWEKA HURU"