Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,222
Niliiona hii habari masaa kadhaa yaliyopita.Dunia imejua
Nimeshangaa hata Salim Kikeke wa BBC London leo yuko Dar kwa ajili ya Obama. Kweli kama hawa wa kwetu wataendelea na business as usual watadharaulika sana muda is mrefu.....Ni kweli mkuu wandishi wetu inabidi wabadilike......DUNIA itawaacha sasa hivi nchi nyingine fani ya uandishi habari inaheshimiwa sana...kwa sababu inafanywa kwa weledi wa hali ya juu.....lakini pia na waandishi wwetu wajifunze kusoma mabo mbalimbali....na si habari za siasa na uchumi tuu....hata wale wa michezo na burudani...wajitahidi bana...wabadilike..
Obama's visit has put the country on the spotlight. The dirt piled under the carpet is being exposed. As the kiswahili saying goes, 'Mgeni njoo, mwenyeji apone' is very relevant at this point in time.
Mzee waandishi wengine ni noma.....wanaandika utafikiri wanaishi na sisi huku mitaani....sasa hawa wandishi wetu wa uhuru, mzalendo, habari leo, clouds na wengine vipi...?
waandishi wenyewe ni form four failure!!!!! hamna kitu kichwani....Ni kweli mkuu wandishi wetu inabidi wabadilike......DUNIA itawaacha sasa hivi nchi nyingine fani ya uandishi habari inaheshimiwa sana...kwa sababu inafanywa kwa weledi wa hali ya juu.....lakini pia na waandishi wwetu wajifunze kusoma mabo mbalimbali....na si habari za siasa na uchumi tuu....hata wale wa michezo na burudani...wajitahidi bana...wabadilike..