USAToday: Tanzania 'crazy' about Obama's visit

USAToday: Tanzania 'crazy' about Obama's visit

Mzee waandishi wengine ni noma.....wanaandika utafikiri wanaishi na sisi huku mitaani....sasa hawa wandishi wetu wa uhuru, mzalendo, habari leo, clouds na wengine vipi...?
waandishi wa tz ni walamba mavi njaa nyingi yakipewa elfu 10 baaasi watanyamaza kimya dah.hakuwa watu ninaowadharau kama waandishi wa habari i salute only KUBENEA ONLY AND THE ONLY ONE
 
Ni vizuri wengine wajue uchafu uliopo kwetu maana hata sisi tunapata habari zao...Media zao haziwabani waandishi kiivyo..

Yaani huyu mwandishi ni noma,
utafikiri anaishi Tanzania, hapo Mwigulu na Nape watasemaje?
 
Mizengo Pinda
 
Last edited by a moderator:
waandishi wa tz ni walamba mavi njaa nyingi yakipewa elfu 10 baaasi watanyamaza kimya dah.hakuwa watu ninaowadharau kama waandishi wa habari i salute only KUBENEA ONLY AND THE ONLY ONE
....Ni kweli mkuu wandishi wetu inabidi wabadilike......DUNIA itawaacha sasa hivi nchi nyingine fani ya uandishi habari inaheshimiwa sana...kwa sababu inafanywa kwa weledi wa hali ya juu.....lakini pia na waandishi wwetu wajifunze kusoma mabo mbalimbali....na si habari za siasa na uchumi tuu....hata wale wa michezo na burudani...wajitahidi bana...wabadilike..
 
mwandishi wa hii makala Josephat Mwanzi litakuwa ni chadema tu...
 
Tanzania 'crazy' about Obama's visit

?

Chip Somodevilla, Getty

President Obama takes questions from the audience and from people in Nigeria, Uganda and Kenya via live link during a "town hall" meeting with young African leaders at the University of Johannesburg in Soweto on June 29 in Johannesburg, South Africa.

by Josephat Mwanzi, Special for USA TODAY

DAR ES SALAAM, Tanzania — Vendors carrying trinkets and snacks usually weave in and out of the dense traffic of this bustling East African capital, their hawking adding to the cacophony of horns and chatter that are the soundtrack to everyday life here.

But not Monday.

An eerie silence and empty streets cleared for security reasons herald the arrival of President Obama on his first visit to this usually overlooked country Monday, a visit that overjoyed locals hope results in change and progress.

"My country is crazy at the moment about Obama's visit and I am, too," said Asteria Benedicto, 32, a student at the Institute of Social Work. "If I get a chance, I will ask him to see to it that there's an equal distribution of resources, fair elections and trustworthy security force in my country."

Tanzania is Obama's last stop on a week-long trip to Africa — a continent some Africans accuse Obama of neglecting during his presidency. His visit to the East African nation was a surprise choice but one the White House said was made because of its strong and vibrant democracy as well as its importance as a partner on a range of security issues.

Former President George W. Bush is alos in Tanzania, and will join Obama on Tuesday in Dar es Salaam for a wreath-laying ceremony at the site of the 1998 bombing at the U.S. Embassy that killed 11 people. The embassy has since been relocated.

Bush is in the country for a conference on African women organized by the George W. Bush Institute. First lady Michelle Obama and former first lady Laura Bush plan to meet at the conference on promoting women's education, health and incomes.

While Obama is being feted on this visit — one main artery of the capital, Ocean Road is being renamed Obama Avenue during his visit — some Tanzanians want to use this opportunity to speak out about problems such as poverty and corruption they say plague the country.

"I have been struggling to make a living and facing a lot of challenges," said Sylvester Pius, 34, a farmer who lives in Iringa, a small town 400 miles south of Dar es Salaam.

He says one of the biggest problems is corruption. He recalls how this problem caused tragedy for his family when his wife gave birth to their fourth child in 2011.

"The nurse who was attending her wanted a bribe to help her deliver on time but I didn't have any money," he said. "Several days after delivery, my wife died because she didn't receive this help and bled out. The child survived but the challenge was now how could I manage to raise him?"

But Pius' story is common in a country where the average monthly income is less than $50 and corruption is out of control, according to locals. They say the situation is not inevitable.

"Considering the peace and potential prosperity of Tanzania, there should be a way," said Alfred Kinge, 54, an entrepreneur in Dar es Salaam. "But of course there are the chronic poor in every country. Still, can't something be done?"

Tanzania has undertaken economic reforms in a bid to lift the country out of such stark poverty, and it has made efforts to improve its infrastructure and also develop its tourism sector but analysts say there is still a long way to go.

"Serious problems remain in mining, education and agriculture — all are key to national progress," said Emanuel Sulle, a Tanzanian researcher at the Institute for Poverty, Land and Agrarian Studies at the University of the Western Cape in South Africa.

"The failures in most of these sectors are the result of poor reforms in education, constitution and, of course, lack of good governance."

Tanzania has also experienced recent terrorist attacks: On June 15, a bomb that went off at a political rally in Arusha, 500 miles north of Dar es Salaam, organized by the opposition Democracy and Development Party, left three people dead and 60 injured.

The attack followed another bomb a month earlier that killed another three during a Catholic church service in Arusha as Archbishop Francisco Montecillo Padilla inaugurated the local parish.

It is the first time since Tanzania became independent in 1961 that it has witnessed such attacks and many point fingers at the government and its ruling Chama Cha Mapinduzi (Party of the Revolution or CCM) party, an allegation both the government and the party deny.

Regardless, no one has claimed responsibility for the attacks.

However, Tanzanian Prime Minister Mizengo Pinda has been accused of endorsing the use of violence by police against dissidents and the opposition, and has been criticized by human rights groups such as the country's Legal and Human Rights Center, who say some recent statements by Pinda violate the country's constitutional protections.

"Once you reject obeying (the law) and cause trouble, or fail to respect the laws of the country, you will be beaten, and I say such people should be beaten. … We (the government) are tired," said Pinda following the blasts on June 21, in one such statement.

As a result, some Tanzanians are losing hope and trust in the government as it fails to properly investigate and address intimidation and violence.

"Lack of good governance and weak leadership both contribute to poverty we face today even as we (Tanzanians) should be a champion economically in the region," said Deodatus Kazinja, who works in the penal system in Dar es Salaam, adding that Obama should not ignore the human rights abuses being carried out in the country.

Many are hoping that Obama will share his experiences with leaders in the East African country and build even stronger relations with Tanzania to help them tackle their ongoing problems.

"Our relationship with America is a continuation and cementation of our friendship since President Kennedy's period when the father of our nation Julius Nyerere paid a visit to the U.S.," said Salaam Mecky Sadick, governor of Dar es Salaam. "Since then the U.S. has supported us in many areas like education, agriculture and health."

But others say they know Obama is coming for "American interests."

"One thing I would like to note is that there has been a scramble for Tanzania's resources, like gas and gold, and there's an obvious competition between the U.S. and China," said retired teacher Jesca Mbelwa, 65.

"But I want to see Africans benefit from their resources first and second the Americans or the Chinese."
 
Obama's visit has put the country on the spotlight. The dirt piled under the carpet is being exposed. As the kiswahili saying goes, 'Mgeni njoo, mwenyeji apone' is very relevant at this point in time.
Mgeni njoo mwenyeji akomae
 
few days in Tz, wamejua yote hayo.....imagine wangekaa mwezi.....
 
i dont knw wat is up with this shit nation,so many problems, corruption is even higher than sought. Poor leadership will cement our povert forever

hatuwezi kila siku kulaumu uongozi mbaya kama chanzo cha matatizo yetu. Sisi ndiyo wa kulaumiwa zaidi kwa kukubali kuwaweka viongozi wabovu madarakani na kuendelea kuwavumilia ili hali tumekwisha baini ubovu wao.
 
Huyu ni mtu tu wa hapa au wa kenya ,rwanda au uganda ambae kaandika hii ishu. Nkiamua hata mm naweza. PIMBI huyo.
 
Hawajatoa lugha chafu kuhusu nchi yetu
Hawa jamaa wanaandika vizuri sana japo sina hakika sana kama sisi wa tz tunaweza kuwa na thamani sana mbele ya Obama iwapo tutawekwa kwenye mizani ya thamani kati yetu na mali zetu...Ccm inauza nchi inaendelea kuuza nchi hadharani na vijakani tena kwa watu ambao hawawezi kufikishwa hata ICC maana wanaendelea kiuchumi huku wanalowa damu mikononi mwao...Tunataka watambue sisi watanzania tumechoshwa na uonevu, mauaji,unyanyasaji,dhuluma,wizi,rushwa,ufisadi na undugu unaofanywa na hawa Ccm na JK waliowaleta huku wakituficha mbali na mabepari wanaotia chachu ya dhuluma na uonevu huu huku democrasia ikifanywa taa ya Ccm kuua watu kwa kutumia polisi na JWTZ bila kuhofia kuhojiwa maana wanatafuta hifadhi kwa wababe huku wanyonge tukizidi kuteseka hata na huo ugeni wa Obama..Obama ajue ukimya anaouona sio amani na utulivu aliodanganywa upo hapa Tz na hao wanaopora haki ila ni uwoga na ukandamizaji,kutengwa kwa baadhi ya watu wenye kilio na uwakilishi wa kweli wa mahitaji ya watanzania mbele ya mabepari,uwoga wa serikali kuanikwa na ufisadi uliokubuhu ukiambatana uuaji unaofanywa na vyombo vya dola.Obama ajue sisi watanzania tunampenda yeye na tunamuhitaji kwa uchumi wetu dhaifu ila anapaswa kujua watanzania tunamtaka raisi wetu na serikali yake pale The Hague tukawadai maisha ya wenzetu,mali zetu na utanzania wetu...Tunawatazama kama ni wahalifu waliokosa mkamataji na mahakama ya kuwashitaki hivyo atafute namna ya kushiriki kutuokoa dhidi ya hawa wanaomdanganya kuhusu Tanzania na Watanzania
 
Sasa hapo Tanzania imechafuliwa vipi ?

Au neno kuchafuliwa lina maana nyengine ?
 
yani mkiambiwa ukweli mnasema mmechafuliwa, sishangai tunavyoambiwa kuwa TZ ndo nchi ya kwanza kwa unafiki Africa Mashariki.

hii safari ya Obama inamvua JK nguo zote mbele ya dunia.
 
Obama's visit has put the country on the spotlight. The dirt piled under the carpet is being exposed. As the kiswahili saying goes, 'Mgeni njoo, mwenyeji apone' is very relevant at this point in time.

Eeee! Hawa watu kiboko. Yaani wamechokonoa kila kitu. Ok!

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom