kiukweli hilo swala lina leta mkanganyo ila yatupasa tuelewe kwanza kitu kinaitwa conditional cash transfer hiki kitu wafnufaika wengi sana hawaelewi TASAF III inafanyaje kazi na masharti yake ... mtu mwenye watoto wa 3 kupata elfu 30 a pungufu ya icho kiwango inatokana na mnufaika kutofikisha masharti aliyowekewa. kwa uelewa wangu mm mdogo wa TASAF III ni kwamba kaya nufaika ambayo inawatoto wa kwenda shule bac kaya itapata pesa kulingana na mahudhurio ya mtoto shuleni ( hii inatokana na kwamba lengo la CCT ni kuinua kaya maskini na kuhimiza uamko au maendeleo ya elimu ktk kaya husika) lkn pia kaya ambayo inanufaika na TASAF III kaya yenye mtoto mdogo na mama mjamzito bac mahudgurio ya kliniki pia yata thibitisha kiwango cha pesa ambacho kaya kitalipwaaa ( hapa nafikiri wana lengo la kutazamia uboreshaji wa afya kwa watoto na wamama wajawazito na wenye kunyonyesha) ss unakuta kaya baadhi wao wanajua tu yakuwa wao ni wanufaika bac ni kuchukua mpunga tu.. kumbe kuna conditionality za kutimiza