Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,151
- 4,141
Kwanza nianze kuwatakia usiku mwema kwa wote waliolala mda huu na Habari kwa wote walio macho.
Kama heading inavyo state, TASAF ni mfumo wa kisiasa zaidi. Siku ya kugawa hela ni kama siri flani hivi wanafanya. Wengi wanapata taarifa kwa kushitukiza hivyo basi waliokuwa mbali wanakosa. Mgao ni mmoja na wa siku moja tu.
Sijajua kwanini wasiweke siku zaidi ya mona. Kuna kipindi foleni kubwa yaani muda hautoshi sasa wakifunga ndio basi hadi Mgao mwingine.
Sijajua hela zinaenda wapi zinazobaki. Lakini kilichonishangaza leo ni kuwa mgao umekuwa mkubwa sana yaani watu wamepewa pesa ndefu. Je, watu watatakiwa warudishe pesa ili waliokosa wapewe? Sijui ilikuaje hadi wamebugi.
Raia wanapiga nyama tu na pombe. Watendaji wanahaha kutafuta watu. Hela zimeisha ilihali wengi wa waliojiandikisha hawajapata.