Leo ndio wanajua kupiga ripu!!!
We waache tu, siku hiyo watatembelea vidole vya mwisho.Weshatufanya zoba hawajui kama tunawapiga chabo siku ikifika hawataaamini.
tunasubiria majibu ya babu wa loliondo.Mmezoea maandamano na sio maendeleo.
Kinana chapa kazi komredi wangu.
tunasubiria majibu ya babu wa loliondo.
Mmezoea maandamano na sio maendeleo.
Kinana chapa kazi komredi wangu.
Pia wamekuja na style ya kuilaumu serikali na watumishi wa umma ili waonekane wako upande wa wananchi
au serikali ya kikwete aliyoamuru barabara ya kwenda kwa babu itengenezwe. those days proved the so called government failure. people shifted their minds from electrical problems we were facing to loliondo, and the government helped so ili watu wasiulize-ulize kuhusu umeme na matatizo mengine; we call it 'populisim'. umenielewa hapo? maana watu wa namna kama yako wana 'nazi' koroma!Mambo ya BABU Mwasapile muulize Mzee Ndesamburo ndiye aliyekuwa mratibu wa safari za kwenda kupata kikombe.