Usangu Logistics ni kampuni ya nani?

Usangu Logistics ni kampuni ya nani?

deonova

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2013
Posts
742
Reaction score
419
Habari wana Jf
Napenda kuuliza mwenye kuimanya vizuri hii kampuni ya Usangu Logistics maana nilipata mashaka makubwa sana mbunge mmoja aliposimama kusema kuwa kampuni hii ilipewa tenda ya kusambaza transforma 10 hapa hapa Dar es Salaam kwa gharama ya Mill. 240 huku kampuni nyingine iliyokuwa imeshindanishwa nayo ikiachwa wakati walikuwa na gharama ndogo zaidi ya sh. Mill. 10 tu.

Mambo haya yaliibuliwa wakati wa uwasilishaji wa bajeti ya wizara ya nishati na madini, ajabu ile hoja ilizimika tu kiulaini.

Nashawishika kuimanya hii kampuni ni ya akina nani then kutoka hapo tunaconnect the dots.
Nawasilisha.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Hii nchi bwana iache kama ilivyo
 
Kuna wakati dezo huua. Si kila kitu cha bei kubwa ni ufisadi...
 
Hii nchi mpaka wafanywe kama Ghadafi
 
Wa TZ acheni majungu na roho ya wivu, kamwe hamuwezi kupiga hatua za maendeleo kama tabia hiyo hamto wachana nayo!
 
huyo mwenye kusafirisha transforma 10 kwa 10M labda alidhan ni kusambaza maembe
kumbuk transforma moja ni 5Tonnes
 
Kuna wakati dezo huua. Si kila kitu cha bei kubwa ni ufisadi...

Akili yako inakubaliana kabisa na bei ya 240M kusafirisha transformer 10 ndani ya Dar?!!!!!!! Labda kama walitumia helicopter!
 
Habari wana Jf
Napenda kuuliza mwenye kuimanya vizuri hii kampuni ya Usangu Logistics maana nilipata mashaka makubwa sana mbunge mmoja aliposimama kusema kuwa kampuni hii ilipewa tenda ya kusambaza transforma 10 hapa hapa Dar es Salaam kwa gharama ya Mill. 240 huku kampuni nyingine iliyokuwa imeshindanishwa nayo ikiachwa wakati walikuwa na gharama ndogo zaidi ya sh. Mill. 10 tu.
Mambo haya yaliibuliwa wakati wa uwasilishaji wa bajeti ya wizara ya nishati na madini, ajabu ile hoja ilizimika tu kiulaini.
Nashawishika kuimanya hii kampuni ni ya akina nani then kutoka hapo tunaconnect the dots.
Nawasilisha.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

usangu,plantinum credit,smart oil,jembe ni jembe,kilimanjaro pub,cosmopolitan hotel na musa transporter yote mali ya salva rweyamamu wa ikulu
 
huyo mwenye kusafirisha transforma 10 kwa 10M labda alidhan ni kusambaza maembe
kumbuk transforma moja ni 5Tonnes

Hivi what do you get by supporting such kind of shit!!???
Hivi hata kubebwa Tranformer kumi kwa hapa hapa Dar kwa milioni kumi bado ni bei kubwa.
 
Habari wana Jf
Napenda kuuliza mwenye kuimanya vizuri hii kampuni ya Usangu Logistics maana nilipata mashaka makubwa sana mbunge mmoja aliposimama kusema kuwa kampuni hii ilipewa tenda ya kusambaza transforma 10 hapa hapa Dar es Salaam kwa gharama ya Mill. 240 huku kampuni nyingine iliyokuwa imeshindanishwa nayo ikiachwa wakati walikuwa na gharama ndogo zaidi ya sh. Mill. 10 tu.
Mambo haya yaliibuliwa wakati wa uwasilishaji wa bajeti ya wizara ya nishati na madini, ajabu ile hoja ilizimika tu kiulaini.
Nashawishika kuimanya hii kampuni ni ya akina nani then kutoka hapo tunaconnect the dots.
Nawasilisha.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Neno Usangu linatoka Mbeya Mbalali ambapo wanaishi Waburushi mtandao wa Rostam Azizi
Watu hawa waliwahi kuua mtoto Mbeya kesi yao ikayeuyuka
MMoja wa Kundi hili ndiye anatuhumiwa na wizi wa Twiga na wanyama hai
Kuna mtu anaitwa Nawabu Mulla CCM mbeya wanamfahamu sana!
Ndani ya Kampuni hii dereva akipata Short ya Mafuta anachapwa viboko
Fuatilia umiliki wa Kiwanada cha majani ya Chai Njombe msitu wa Sakare Tanga utawakuta kundi hili
 
usangu,plantinum credit,smart oil,jembe ni jembe,kilimanjaro pub,cosmopolitan hotel na musa transporter yote mali ya salva rweyamamu wa ikulu
Huyu Salva mnamuonea
Hiyo Mussa Transport ipo Mwanga Bar mjini Dodoma ni ya kijana wa Dodoma shemeji yake na Damas Malya ofisi yao nyingine ipo Jangwani karibu na Club ya Yanga.
Usangu Logistic km siyo ya Jah People Mbunge Sanga basi huyo Mwandishi Salva kaingizwa share ya % miaka hii hii
 
Salva hela yake ya mawazo hii kampuni ya usangu ni ya wabulushi ina tenda ya kubeba sigara za ttc.pia ina miaka zaidi y 15 huyo salva kipindi hicho hana hata baiskeli
 
Huu ndio ukweli...hawa jamaa ni waburushi wa kule Mbarali au Mbeya..Na ipo muda mrefu. Isipokuwa jamaa wako njema. Mengine sijui uongo na ukweli uko kiasi gani...I don't have facts!!!
 
Mh! Mi navyojua Usangu logistics ni ya waburushi(majina yamenitoka) ambao asili yao ni kule bonde la Usangu Mbeya. Mababu zao walikuwa wawindaji wakubwa wa Tembo wa Ruaha na Mikumi,na ndio wengi walitajirikia huko na kuwarithisha watoto na wajukuu zao. Hizo kampuni nyingine sijui za nani.

Back
Top Bottom