Usambazaji wa transformer Dar & Shinyanga

babatovu

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2014
Posts
2,739
Reaction score
1,602
Wanajamvi,
Kweli ufisadi nchii umetamalaki.

Kweli kusambaza transformer tisa Dar es salaam na kupeleka moja Shinyanga inagharimu million 260? Come on guys lets be serious tuache ushabiki.

================

Nimestaajabu kusikia kuwa mil 246 zilitumika kusafirisha transforemer 10 jijini DSM.

Hayo yamesemwa na mchangiaji ambaye sikumshika jina alipokuwa akichangia kwenye hotuba ya wizara ya Nishati na madini muda wa saa 5 hv asbh.

Amebainisha kuwa Milioni 246 zililipwa kwa mzabuni wa Tanesco aliyesafirisha Transformer 10 ndani ya jiji la Dar es salaam na 1 kuipeleka Mkoani Shinyanga.

Tenda hiyo alinyimwa mkandarasi ambaye gharama yake ilikuwa ni 10m alinyimwa tenda hiyo kwa sababu ya kigezo cha uzoefu ndipo alipopewa mkandarasi mzoefu kwa gharama ya shilingi Milioni 246.

kama ni kweli Tanesco inatapanywa haswa, na cha moto tutakiona!
 
Wanajamvi,
Kweli ufisadi nchii umetamalaki.
Kweli kusambaza transformer tisa dar es salaam na kupeleka moja shinyanga inagharimu million 260? Come on guys lets be serious tuache ushabiki.

unajua bei ya transformer 1 ni shilingi ngapi?
 
jaribu kupata mchanganuo kwanza. Labda ni pamoja na bei ya hizo transforma.
 
Na huyo tenderer aliyetaka kuzisambaza kwa million kumi alijumuisha na manunuzi?
 
Nimestaajabu kusikia kuwa mil 246 zilitumika kusafirisha transforemer 10 jijini DSM.

Hayo yamesemwa na mchangiaji ambaye sikumshika jina alipokuwa akichangia kwenye hotuba ya wizara ya Nishati na madini muda wa saa 5 hv asbh.

Amebainisha kuwa Milioni 246 zililipwa kwa mzabuni wa Tanesco aliyesafirisha Transformer 10 ndani ya jiji la Dar es salaam na 1 kuipeleka Mkoani Shinyanga.

Tenda hiyo alinyimwa mkandarasi ambaye gharama yake ilikuwa ni 10m alinyimwa tenda hiyo kwa sababu ya kigezo cha uzoefu ndipo alipopewa mkandarasi mzoefu kwa gharama ya shilingi Milioni 246.

kama ni kweli Tanesco inatapanywa haswa, na cha moto tutakiona!
 
Katika bei za usafirishaji tani 32 za mzigo Dar mpaka Shy ni 2.8 milion sasa cjui hiyo transfoma ina tani ngapi.
Lakini Hata kama loli Hilo la Usangu Logistics lingebeba transfoma hiyo tu lingelipa mil 2.8.
Mbaya zaidi kusafirisha transfoma 9 kwa Dsm tu gharma zote hizi.
NAFIKIRI TATIZO LIPO KWETU WATZ
 
ina mana yale magar ya tanesco makubwa ayawez kubeba hzo transfoma,au tanesco hawana uwezo wa kununua hayo magar wanayoyakod.rais ajaye asiende nnje kuomba misada akusanye hela zote ambazo wachakachuaj wamezitia mifukon,asiwasahau wale watendaj wote wa serekal walio na utajir usiolingana na vipato vyao
 
Hih mada inachangiwa na wamikoani au?jamani tanesco na magari yao yote inamaana huwa hamyaoni hapa kibongo bongo yakiwa yamebeba transformer acheni hizo hizo bei itakuwa inclusive na bei ya transformer yenyewe na mafuta yake
 
Sikia mwana, tenderer walikua wawili mmoja alikua wa million kumi wakamtolea nje kwa kua hana uzoefu. Na wa pili ndo huyu wa million 260. Sasa kama inahusisha na bei ya transformer ina maana huyo aliye tender kwa million kumi atakua kilaza kama wewe.
 
inawezekana wewe ni div 5!mbona huelewi?naomba urudie kusoma uelewe kisha uchangie!
 
ex tanesco staff na nna jua bei ya transformer na gharama za mafuta yake tena 4 ur information hata hiyo figure kwa transformer kumi mpya ni ndogo kutakuwa na used au repaired hapo punguza ukilaza kwa vitu ambavo hujui
 
Sikia mwana, tenderer walikua wawili mmoja alikua wa million kumi wakamtolea nje kwa kua hana uzoefu. Na wa pili ndo huyu wa million 260. Sasa kama inahusisha na bei ya transformer ina maana huyo aliye tender kwa million kumi atakua kilaza kama wewe.

Nadhani walimtolea nje kwa kuwa ana akili kama zako ambaye unaweza kwenda yard na elfu hamsini alaf unataka gari tena bora tanesco walimsahi na kumpa jibu zuri kidogo hana uzoefu nenda kwa chinga uliza shati alaf umwambie una sh mia ndio utajua alikua anastahili jibu gani
 
Mwanajamvi, hapa tunajadili gharama za kuzipeleka transformer site kwa gharama tajwa na si manunuzi usichoelewa ni kipi? Unaweza kuwa ni x- tanesco worker but ulikuwa manamba tu wa kwenda kufunga nguzo site.
 
jaribu kupata mchanganuo kwanza. Labda ni pamoja na bei ya hizo transforma.

Mbona uwezo wako wa uelewa ni mdogo sn we umeambiwa kusambaza transfomer dar na moja kupeleka shinyanga duh, elewa.
 
ex tanesco staff na nna jua bei ya transformer na gharama za mafuta yake tena 4 ur information hata hiyo figure kwa transformer kumi mpya ni ndogo kutakuwa na used au repaired hapo punguza ukilaza kwa vitu ambavo hujui

Ex tanesco staff, mbona inaonekana uwezo wa uelewa wako ni mdogo sn, we umeambiwa nikusambanza dar na transfomer moja kupeleka shinyanga kutoka dar kwakweli ni mzigo kuwa na watu wa aina hii nchi hii, wewe nani kakwambia ni kununua.
 
Kwakweli nchi kama hii kwa viongozi wa aina hii tutasubili sn kupata maedeleo.
 
Ieleweke mzigo kama huo lazima ukatiwe insurance just in case... And insurance is basing on value.
 
Wizara imetuambia gharama hizo zimehusisha special permit kutoka tanroad kwa sababu zina urefu wa futi nne na upana wa futi tatu, special crane kwa ajili ya kuzipakia na kushusha mahali ambako inafungwa(site).
 
Back
Top Bottom