Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,169
- 10,786
Kwa mfano!
Hasira zote zile, matamko yote yale, kunyooshea vidole watu na kumzodoa kila anayesema tofauti!! bado CHADEMA mmeshiriki bunge? Mnashiriki bunge? mnakula, mnacheka huku kuna mtu yuko kitandani na bado hakuna hata clue ya nani ni nani alifanya nini!
Ilikiwa rahisi kwa mbunge Sugu kuahirisha na kutoimba kwenye Fiesta Mbeya ila ndio muongeaji mzuri bungeni!!
Nilifikiri njia nzuri ya kuipush serikali au hata kabla ya kuingia bungeni basi mngewaambia wananchi, A to Z ya hili swala limefikia wapi? Na wananchi wategemee nini na ni percentage/chances ngapi za aliyefanya
1. Serikali? Why any evidences zisizo na shaka na kama ni serikali nini kimefanyika? Are you closing the case? Or fight through judiciary systems? Where are evidences
2. Ni maadui wa Lissu? akina nani? Wako wapi? Kwanini walifanya haya, CHADEMA na serikali imefikia wapi kuwatia nguvuni? Last time Kubenea alimwagiwa tindikali kwa kulala na mke wa mtu ikaonekana shujaa wa kisiasa
3. Thirdy party ambae kamfanya Lissu kuwa kafara innocently, kaamua kufitinisha serikali na wananchi akiwa ni adui wa serikali na anaikomoa serikali na akaona Lissu awe kafara innocently...any clues? Who are they?
Lilipita na mpaka leo ni aibu kwa BEN SAANANE...kutopatikana, leo Lissu yuko hai hakuna appreciation za kishujaa!!
Chadema nimejitolea sana kuwafundisha kila siku kuanzia mlipobaka demokrasia 2007..sitachoka
Ila mlichofanya ni USALITI KWA LISSU na wananchi, hii ndio tabia ya kikamanda?? seriously? Lissu pata ujumbe ungekufa pengine hawa jamaa wangetongozana na wanawake wapya siku ya msiba na unasahaulika mioyoni kabisa..
ila watakukumbuka kwa midomo...kama wengine wengi wanavyojifanya kumkumbuka Nyerere
Sijaona ile heroism, unity na sijaona punch za maana kwenda kwenye mamlaka husika kuhusu issue za Lissu na majibu yake! wananchi wanasubiri ngau kusikia upelelezi umefikia wapi....kujifanya kulaumu tu kisha ukakaa chini, tofauti ya chama chenye viongozi na wauza kahawa mtaani haitakuwepo
Narudia tena, push ya kujua swala la Lissu ilitakiwa ionyeshwe na hawa chadema kutoingia bungeni, this time probably they could have good reason ambayo inaeleweka kwa wananchi!! kuwaza posho (najua hali mbaya) kamwe kusififishe nguvu ya pamoja ya kujua hili...somebody did we need to know, au mmejua tayari na mnaogopa aibu? kuwa mliyemdhania sie? semeni tu
kama mnataka aje scotland yard, wala hakuna haja ya kuiambia serikali, waleteni kimya kimya!! ila nchi ambayo raia wake hawana database ya makazi, finger prints, taxes, daily work n.k wakija FBI wanakuwa sawa na wapiga ramli, ili ni somo la siku ingine
wabe