Sikiliza ushauri wa Mh. Mallah (naibu meya FEKI wa sasa wa arusha-CHADEMA) alioutoa kwa Mh. Kivuyo (diwani pekee wa TLP Arusha) Mwezi January 2011 baada ya Kivuyo kugawiwa unaibu meya na madiwani wa CCM Arusha. Mallah alimshauri Kivuyokuachia nafasi hiyo na kususia vikao vya halmashauri na kutokumtambua Meya FEKI wa CCM. Cha kushangaza mallah huyohuyo aliyemshauri Kivuyo kukataa nafasi ya unaibu meya, ndiye aliyeukubali kuvunja kanuni maradufu na kukubali kuchukua nafasi ileile ya unaibu Meya FEKI Arusha.
Huu ni usaliti mkubwa. Sikiliza kwa makini. REKODI NYINGINE ZINAFATA.
[video]VN00001-20101219-2306.amr[/video]
Huu ni usaliti mkubwa. Sikiliza kwa makini. REKODI NYINGINE ZINAFATA.
[video]VN00001-20101219-2306.amr[/video]