Usaliti wa mallah Arusha, sikiliza ushauri alioutoa kwa Mh. Kivuyo wakati kivuyo alipochaguliwa kuwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usaliti wa mallah Arusha, sikiliza ushauri alioutoa kwa Mh. Kivuyo wakati kivuyo alipochaguliwa kuwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ngurati, Aug 3, 2011.

 1. n

  ngurati JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 221
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sikiliza ushauri wa Mh. Mallah (naibu meya FEKI wa sasa wa arusha-CHADEMA) alioutoa kwa Mh. Kivuyo (diwani pekee wa TLP Arusha) Mwezi January 2011 baada ya Kivuyo kugawiwa unaibu meya na madiwani wa CCM Arusha. Mallah alimshauri Kivuyokuachia nafasi hiyo na kususia vikao vya halmashauri na kutokumtambua Meya FEKI wa CCM. Cha kushangaza mallah huyohuyo aliyemshauri Kivuyo kukataa nafasi ya unaibu meya, ndiye aliyeukubali kuvunja kanuni maradufu na kukubali kuchukua nafasi ileile ya unaibu Meya FEKI Arusha.

  Huu ni usaliti mkubwa. Sikiliza kwa makini. REKODI NYINGINE ZINAFATA.


  [video]VN00001-20101219-2306.amr[/video]
   
Loading...