MKALI W MAMBO
Senior Member
- Aug 9, 2018
- 190
- 136
Alienda chuo kimasomo huko mkoaniHuyo wa kwako amechelewa kubadilika tena nampongeza kidogo.
Mabinti wa siku hizi akihama tu wilaya achilia mbali mkoa, anakuwa sio wako tena
Ndio huenda kaona hakuna future kati yako na yeye.Alienda chuo kimasomo huko mkoani
Inauma sanaNext usiingine miguu yote. Mpende mtu but kuwa makini unayempa moyo wako
Zambi kivip tena mkuuMimi nimedumu 7 years kwenye mahusiano lakn mwaka huu ameniacha,simu hapokei wala sms hajibu,nilimgharamia kama wew na sasa ni mwalimu kaniacha,ila sina stress mana nimewapanga balaa
1.Kuna nurse 2
2.Kuna mwalimu 1
3.Mfanyabiashara 1
Jumla 4
Ni dhambi kubwa sana kuwa na mwanamke mmoja hapa duniani
Mbona wapo wengi wa kike wameolewa na raiaNdio huenda kaona hakuna future kati yako na yeye.
Niliwahi kuwepo jkt kipindi fulani nilisikia( japo sina uhakika) kuwa mwanajeshi wa kike haruhusiwi kuolewa na raia ila wa kiume anaruhusiwa kuoa raia.
Yawezekana ni sababu
Sio kweli mkuuNdio huenda kaona hakuna future kati yako na yeye.
Niliwahi kuwepo jkt kipindi fulani nilisikia( japo sina uhakika) kuwa mwanajeshi wa kike haruhusiwi kuolewa na raia ila wa kiume anaruhusiwa kuoa raia.
Yawezekana ni sababu
Duuuh zikoje kwani ndugu au wanaaribikaPole mkuu ndo maisha ujifunze tu ila naona pia ulikosea kumpeleka huko jkt wanawake wa kijeshi akili zao wanazijuaga wenyewe
Nijuavyo wote huwa wanatolewa uraia na kuwa tofauti na aria wa kawaida sasa ni wanawake wachache sana wanaoweza kubaki na ile spirit na kike na kujikubali kama mke wengi huwa wanaharibiwa na mazingira ya kazi zao usikute mngeendelea angekuja akuache baadae sana labda kwa kuona hamuendani kitabiaDuuuh zikoje kwani ndugu au wanaaribika