miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
miezi miwili tu bado penzi jipyaa anacheat likianza kuota magugu je? huyo gumegume...
atakuwa ameshaachwa
miezi miwili tu bado penzi jipyaa anacheat likianza kuota magugu je? huyo gumegume...
Interesting...
Waislamu ila bwana aliecheat nae mkristo
kama amfanyi vizuri afanyaje?
basi hapo hakuna ndoa adhabu ya mzinifu ni viboko mia akubali kwanza
mume itakuwa hajitumi kunako six kwa six....labda yupo kimaslahi zaidi na binti wa watu kajionea isiwe shida!
Ahhha now tuko poa sina kinyongoWee daudKipara wamatafuta nini mamaafacebook, ulizani wewe tu ndo wajua dini myeeeeeeeuuxuuuuuuu mfyuuuu tena kaa mbali naye kabsaaa
huwezi jua wewe kunakukosa kula mzigo ipasavyo achana na makosa ya kawaida ila kukunwa hpo ndiyo dada afunguke
afu anamsingizia shetani mmh shetani hata hausiki ni yy tu na ufuska wake...atakuwa ameshaachwa
Wanaume wanaotafutiwa wake uwa wanakuwa wamezubaa fulani hivi...
Labda ndio maana bidada kamkumbuka ex wake...
Utatafutiwaje mke bana na wanawake wamejaa kila kona...
afu anamsingizia shetani mmh shetani hata hausiki ni yy tu na ufuska wake...