Nimeombwa ushauri, na mimi naleta kwenu wanaukumbi, kijana ameoa mke wa kutafutiwa na wazee kabla ya kuoa aliongea na binti wakakubaliana, wakaoana.
Miezi miwili tu mdada akatembea na mpenzi wake wa zamani, mume akajua, mdada akaomba msamaha kuwa shetani tu alimpitia na kuahidi kutorejea tena, suala je ni kweli upo uwezekano wa huyu mdada kubadilika endapo atasamehewa?