mleta mada amesema USALITI KTK NDOA...!
sasa naona mnaanza kuegemea kwa wanawake tu...!
usaliti ktk ndoa unavyanzo vingi...! lazma ziangaliwe sababu ktk pande zote...!
Mfano:-
kuna ndoa ya kaka mmoja imefika mahal ni shida, ME yuko bize kiasi aliwahi safir mtoto wake ametoka kuzaliwa baada ya wiki mbili tu akasafir ( tanzania hapahapa, yaan alikuwa anbadilisha mikoa tu) alirud mtoto anatembea (mwaka na miez mitatu) kakaa wiki mbili kasepa.
kwa hali hiyo ukisalitiwa utamlaumu nani?