Usaliti/Fumanizi Vs. Personality/Traits

Usaliti/Fumanizi Vs. Personality/Traits

Bro litakapo kutokea ndo utajua la kufanya.kwa hayo majibu yako tutadanganyana.pale unapokuwa total in love unaweza ukafumania ukapewa maneno simple tu ya kimahaba na ukaridhika ila baada ya mapenzi kuisha ndo unajishtukia wewe ni fala/boya
 
Dawa ni kudharau na kuendelea na maisha kama hakuna kilichotokea! Msaliti atabaki na maswali ndani ya moyo ambayo ni adhabu tosha kwake.
wakat mnaendelea na mahusiano au vipi
 
Unapata ganzi ila wengi huchagua namba 4 ila inauma kama ulipenda sanaaaa... unatamani uendelee ila ukivuta ile picha unaona bora uwe mpweke tu
 
Duuuu maumivu ya usaliti nmmh hayana mfano
 
Habari zenu wana JF wa jukwaa pendwa kabisa la MMU.

Nimekaa nikajiuliza sana kuhusu maamuzi mbalimbali ambayo huwa yanachukuliwa kwa sababu ya Usaliti au Fumanizi na jinsi yanavyoendana na Personality au traits za watu hawa ambao wanakuwa ni victims wa usaliti huo.

Baadhi ya maamuzi ambayo huchukuliwa ni.

1. Kujiua,

2. Kuua,

3. Kujeruhi,

4. Kuachana au kumuacha aliyekusaliti,
5. Kutokuchukua hatua yeyote zaidi ya kumsamehe muhusika wa usaliti.

Ungekuwa ni wew ungechukua maamuzi gani na sababu zako za kufanya hivyo ni zipi.
No.4 usiniulize sababu.!
 
Back
Top Bottom