Chifunanga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 290
- 102
Hili neno nimekuwa nikilikia mara kwa mara likitajwatajwa kwenye sentensi tofauti.
Hivi maana yake haswa ni nini? na linatumikaje?
Hili neno nimekuwa nikilikia mara kwa mara likitajwatajwa kwenye sentensi tofauti.
Hivi maana yake haswa ni nini? na linatumikaje?
I agree with u 100%Ni kituo cha basi unapokuwa unaenda UBUNGO baada ya kuvuka taa za Magomeni mapipa
Ni kituo cha basi unapokuwa unaenda UBUNGO baada ya kuvuka taa za Magomeni mapipa
Ni kituo cha basi unapokuwa unaenda UBUNGO baada ya kuvuka taa za Magomeni mapipa
Pia kituo kimoja kabla ya shule on the way kwenda Bunju!Ni kituo cha basi unapokuwa unaenda UBUNGO baada ya kuvuka taa za Magomeni mapipa
Ni hali ya kuishi katika mazingira yasiyo hatari kwa maisha au mali zako.... lakini (kwa Tanzania tu) ni genge la wahuni waliobobea katika kuchakachua habari, maelezo, picha na hata kura ili kukinufaisha chama cha mafisadi (CCM) na Raisi wao. Wahusika katika genge hilo huitwa wana 'Usalama' na hufanya kazi zao kwa kujificha. Ni genge hatari maana wanaweza kukuchomekea mionzi ili ikuue polepole, kukunyonga kisirisiri, au kukuchongea polisi kwa habari watakazoziita za ki-inteligensia ili upigwe risasi kama walivyopigwa wenzetu kule Arusha. Kwa nchini kwetu genge hili liko 'immune' na sheria ila kiboko yao ni mtu anayeitwa Ocampo.Hili neno nimekuwa nikilikia mara kwa mara likitajwatajwa kwenye sentensi tofauti.
Hivi maana yake haswa ni nini? na linatumikaje?
Ni taarira za kiintelijensia
Ila mimi nina wasiwasi na wewe ni TISS umetumwa kupata upepo wa mambo hapa JF kujua watu wanaijua kwa namna gani hiyo TISS.
Kuna thread umeileta kupima kama watu wanalijuua lile jengo pale nyuma ya DSTV ni la nani, watu wamekujibu kuwa wanalijua ni la TISS na mambo mengine. Ok kazi njema kama nimepatia hisia zangu.
Mdau, labda ningekuuliza kuwa unadhani hii ndio njia nzuri kwa "TISS kupata upepo wa mambo hapa JF"?
Ila kama unadhani mi ni TISS poa tu, wala siwezi kukanusha kwa sababu katika nchi hii ni sifa kujulikana kuwa wewe ni TISS....kwa hiyo mi TISS. sauwaaa?