Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usalama wa Taifa wakanusha tuhuma za Dr. Slaa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mpita Njia, Nov 4, 2010.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,014
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Wameitisha Press Conference imehutubiwa na Naibu Mkurugenzi bwana Jacky Mugenzi kuwa hawahusiki kwa namna yoyote na uchakachuaji wa kura za urais.

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  Source: Mimi mwenyewe
   
 2. K

  Kituko JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 6,554
  Likes Received: 2,106
  Trophy Points: 280
  ulitegemea watakubali?
   
 3. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2010
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,563
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Kwanini RO asijitokeze mwenyewe kujibu tuhuma za uchakachuaji?

  Hamjamuuliza maswali yoyote zaidi ya kupokea taarifa yao ya kukanusha kuhusika?
   
 4. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Waache wajichanganye
   
 5. coby

  coby JF-Expert Member

  #5
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 341
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tangu lini mtuhumiwa akakubali, tulitegemea ajibu hivyo
   
 6. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #6
  Nov 4, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,474
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Ili kupata muafaka ni bora malinganisho ya madai ya Dr.SLAA dhidi ya uchakachuaji yakafanyiwa kazi kuliko kukanusha tu.Hapa inabidi wawe objective zaidi ya kuwa subjective. SLAA amesema nazo takwimu basi zifanyiwe kazi kuliko kuendelea kurumbana.Time is running out you know!!!!!
   
 7. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #7
  Nov 4, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 62,026
  Likes Received: 602
  Trophy Points: 280
  TBC1 leo kwenye taarifa yao ya habari ya mchana wamemwonyesha Naibu Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa taifa Bw. Jacky Nzoka akilalama ya kuwa tuhuma za Dr. Slaa dhidi ya idara ya usalama wa taifa ni za uongo na akadai ya kuwa yawezekana Dr. Slaa alitapeliwa na watu wanaojiita ni usalama wa taifa kwa kumpa taarifa za uongo........

  Maoni yangu binafsi ni kuwa..................

  Hili linashtua kwa sababu, Dr. Slaa amesema anao ushahidi na huyu kibosile wa usalama wa taifa hakuonyesha hata kama amepitia ushahidi huo wa Dr. Slaa kabla ya kuanza kuushambulia............

  Ushauri wangu kwa Idara ya Usalama iupitie ushahidi wa Dr. Slaa kabla ya kuanza kujidhalilisha na utetezi ambao hauna mashiko hata chembe....................
   
 8. F

  Ferds JF-Expert Member

  #8
  Nov 4, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 133
  tutafuta mchawi hadi tukome lakini ikweli chadema tumegeukana , na ushahidi upo, mawakala wetu tuwawajibishe ndio tuwafuate wengine
   
 9. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #9
  Nov 4, 2010
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Ni hatari kwamba Usalama wa Taifa sasa wanafanya Press Conference halafu naambiwa waandishi wa Tanzania Daima walizuiwa kuingia na wamefanyia pale ilipokua Holiday Inn, Southern sun hotel. Ni jambo jema wangefanya kuwatuliza wananchi kuwa nchi iko shwari na kwamba wataheshimu matokeo na kufanya kazi na yeyote atakayeshinda, lkn hii ndio Tanzania, kaanza Shimbo sasa Nzoka
   
 10. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #10
  Nov 4, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 11,957
  Likes Received: 3,244
  Trophy Points: 280

  Mkuu Kigogo maji yamezidi unga.
   
 11. M

  Magobe T JF-Expert Member

  #11
  Nov 4, 2010
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 2,579
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Udhaifu huu unaonekana katika vyombo vyetu vya dola. Tuhuma zikitolewa, kitu cha kwanza ni kuzifanyia kazi na siyo kuzikanusha. Unapokanusha uwe na uthibitisho na umejiridhisha kuwa lililosemwa halipo. Haiwezekani jana kumetolewa shutuma kali kama hizo halafu siku hiyohiyo au kesho yake mtu awe ameshatafiti kubaini hilo tatizo. Kama kila kitu ni rahisi kiasi hicho, mbona Tume ya Uchaguzi ya Taifa inapata shida kujumlisha idadi ya kura hata Dar es Salaam, ambako tunategemea ufanisi mkubwa kiutendaji na upatikanaji wa nguvu kazi, vitendea kazi na miundo mbinu?
   
 12. coby

  coby JF-Expert Member

  #12
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 341
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Yale ya Shimbo ndio yanatokea tena kwa huyu jamaa. Analalama bila kujua analalama kuhusu nini na kwa kigezo gani. Hajui kama no data no base to speak. Anyway, hii vita inajulikana siku zote kuwa ni kati ya umma wa watanzania wapenda maendeleo ya nchi hii ikiongozwa na Dr. Slaa(PhD) against CCM, NEC, wakuu wa vyombo vyote vya usalama na mafisadi. Tusonge mbele, tutafika
   
 13. L

  Lalashe Member

  #13
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu kumbuka hatuna usalama wa taifa tuna usalama wa JK. Nchi imekwisha hii ndugu yangu watu wanapita kama uchochoro kisa taasis muhimu kama hizo zimebinafsishwa. Usalama wa taifa hawajui wanachofanya. Na nchi hii usitegemea kuwa na watu katika taasisi za umma ambao wapo objective au kufanya uchambuzi critical thinking kwisha.
   
 14. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #14
  Nov 4, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,726
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  Sina uhakika hata kama Zimbabwe wanaweza kufanya hili:

  Deputy Director wa TISS anafanya mahojiano na waandishi wa habari kukanusha tuhuma? Hii mpya!

  BTW: Nani anatawala hii nchi?
   
 15. B

  Binti Sayuni JF-Expert Member

  #15
  Nov 4, 2010
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 351
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Anadhalilisha taaluma yake.:sad:
   
 16. M

  Mkulima JF-Expert Member

  #16
  Nov 4, 2010
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 670
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Siku hizi wanaongea mkuu. mambo ya siri yamepitwa na wakati. Ukitaka mfano soma hapa chini:

  BBC News - MI6 chief Sir John Sawers says torture illegal
   
 17. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #17
  Nov 4, 2010
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Tangu lini mwizi akakubali kuwa kaiba?
   
 18. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #18
  Nov 4, 2010
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,098
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Aaaaghhh!

  Mungu epusha mbali, this' too low for TISS. Kwanini wanajibu? Nani amewashauri wafanye jambo hili? Kwanini wasiwaachie wanasiasa?

  Dah...

  :A S angry:
   
 19. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #19
  Nov 4, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,068
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  kwani wao ni usalama wa taifa upi, kwa kuwa madai ya dr slaa ni mazito na anasema anao ushahidi kwani kama sehemu ya usalama wa taifa wasilichunguze hilo?
   
 20. Domo Kaya

  Domo Kaya JF-Expert Member

  #20
  Nov 4, 2010
  Joined: May 29, 2007
  Messages: 530
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sasa hapo wachunguze nini, kwani kuna maombi yeyote yalipelekwa usalama wa taifa kuomba kuchunguza.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...