Usalama wa Taifa haujadiliwi

Kwan we hapa JF umeleta mada ili tufanye nn kama sio kujadili...??
 
Usipojadili usalama wa taifa utajuaje kwamba kinachoitwa usalama wa taifa ni usalama wa taifa kweli au mawenge?

Granted, kuna uhalali wa vitu fulani kuwa "classified" kwa sababu maalum za kiusalama, hili linajulikana dunia nzima.

Kwa sababu maalum. Siyo kusema kwa mkumbo tu "usalama wa taifa haujadiliwi".

Watu wataiba fedha na kusema ni kwa sababu za "usalama wa taifa".

Kama haujadiliwi, mtaulizaje?
 
NI WAZALENDO WA KWELI TU NDIO WANAMUELEWA MH. RAIS NA VYOMBO VYA USALAMA PIA MAKONDA. Wengine ni wanajaribu kuvuta sharubu na kukiona cha moto na wengine wafuata mkumbo bila kujua ukweli.
 
KWAKUWA KASEMA ZITO KABWE NA LISU WAMEISHA KUAMINISHA UNACHO KISEMA AKISEMA KAMANSA SIRO NA WAZIRI WA ULINZI YOU DONT...OOOWW THUS IT.....
 
KWAKUWA KASEMA ZITO NA LISSU UMEANI WALICHOKISEMA ILA ALICHOKISEMA KAMANDA SIRO NA WAZIRI WA ULINZI YOU DON'T...HAHAHAHA THUS IT...
 


Ukimtukana rais au kumzushia uongo au ku mu abstract katika wake mwema unahatarisha usalama Wa taifa
 
Take care. Your freedom here is limited. You are not free to that extent
Naona wamekutuma Uje Humu, waambie bajeti yao ni pesa za walipa kodi wa Tanzania, hivyo tutawajadili kwa mazuri au maovu yao.
 

Hacheni mbwembwe zenu na hadaa kwa umma.
Si mseme tu hiyo taasisi yenu imejikita zaidi kiasiasa kuliko kwenye majukumu ya kitaifa? US,UK na nchi nyingine zilizoendelea hao wakuu wa taasisi hizo kila mara wanakua grilled na mabunge ya kwao kila siku when things go wrong. Mfano kwa issue hii ya utekaji watu,Escrow na madudu mengine hao wengekuwa wameitwa kuhojiwa,lakini hapa kwetu tumewafanya kama malaika,hawaguswi,which is wrong.
 
Mleta mada yuko sahihi mia ya mia. Huwezi jadili usalama wa taifa jf wala facebook wala twita.
matendo yao ndio yamefanya mpaka watu watake ijadiliwe, mbona huko nyuma haikuwa hivi? jiulize imekuwaje mpaka inapigiwa kelele namna hii?
 
Eti hawalali kwa ajili yako? [emoji2] [emoji2] [emoji2].

Kama wangekuwa hawalali makontena ya udongo wa madini yasinge safirishwa kisiri kwa miaka zaidi ya 20 na kulipatia taifa hasara.

Kama Wangekuwa hawalali wahamiaji haramu wasingezangaa ovyo mitaa.

Kama wangekuwa hawalali wangeweza mbele maslahi ya taifa badala ya kutumika katika kudhoofisha upinzani.

Nitaendelea.....
 
H
NI WAZALENDO WA KWELI TU NDIO WANAMUELEWA MH. RAIS NA VYOMBO VYA USALAMA PIA MAKONDA. Wengine ni wanajaribu kuvuta sharubu na kukiona cha moto na wengine wafuata mkumbo bila kujua ukweli.
Hii nchi yetu Tanzania haijawahi hata mara moja kufikia hatua kama hii " je kama Demokrasia na amani inavunja usalama wa nchi na kuangamiza taifa tufanyaje kuokoa Nchi?. "......halafu s lazima kutesa wala kuudhi uliyemkamata ......watu hao wangewekwa sehemu salama na kuhojiwa nini kifanyike kuelekea mawazo yao na kufuata ushauri wao wakiwa huko hakuna mtanzania angewanyooshea kidole!!..Upumbavu ni mateso na mauaji!!
 
Twiga walivyopanda ndege wao walikuwa wakipiga Selfie?

Acheni ukuda TISS ni iko imara kwa manufaa ya kikundi cha watu na Sio Taifa.

Hatutakiwi kuwajadili ila tunawahoji.
Kama bajeti yao inatokana na vyanzo wanavyovijua wao na sio pesa za walipa kodi wa Tanzania basi wana haki ya kutohojiwa.
 
hapa ndipo mnapokesea, kuifananisha TISS na watoa huduma wengine wanaofanya kazi kama za TISS.
Kuna aina nyingi za utekelezaji/hutoaji wa huduma hii. Na hiki ndicho kinafanya watoa huduma kutofautiana. Usishangae kupata habari kwamba watoa huduma hao uliowataja kuwa huwa wanajadiliwa hadharani, ndiyo hao hao wanakuja kuomba ushauri huku katika masuala ya utoaji huduma huko kwao ama sehemu nyingine duniani.

Huduma hii inahitaji rasilimali watu, rasilimali watu maalum, rasilimali vitu na rasilimali vitu maalum. Rasilimali muhimu kuliko zote nilizotaja katika utoaji huduma hii ni rasilimali watu maalum. Kama watoa huduma hawa hawana rasiimali watu maalum wakutosha basi hao ni watoa huduma dhaifu kabisa. Usishangae pia kuambiwa pia nchi hii ina rasilimali watu maalum wakutosha kuliko unavyofikiria!
 
Kujadili kitu usichokijua ni sawa na bure.
Tufanye yetu yanayotuhusu.
Hao wanataka kujadili waendelee kujadili.
 
Samaki mmoja akioza......

Taasisi umevamiwa na wanasiasa uchwara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…