Usalama wa taarifa zetu mtandaoni

Usalama wa taarifa zetu mtandaoni

mpya9

Member
Joined
Aug 29, 2016
Posts
31
Reaction score
18
Hivi ulishawahi kujiuliza waganga au matapeli wanatoa wapi taarifa zetu? 😱lol unafahamu kila unapojiunga na kuipa ruhusa mitandao ya kijamii unajitengenezea mtandao usioujua ambao mwisho wa siku unaweza kutumika na watu wenye utaalamu wa sayansi ya kompyuta kukubaini wewe ni nani?, upo wapi?, unakaa wapi?, unafanya nini?, akina nani na nani ni marafiki/ndugu au majirani zako kiurahisi tu kwa kutumia mbinu za kufuatilia taarifa zako zinazozagaa mtandaoni ambazo kwa ujumla zinajulikana kama OSINT yaani Open Source Intelligence.... Kwa uchache huo nilivyoyaeleza mambo haya yakutosha kabisa kuwa na jawabu lako binafsi kuwa taarifa zako mtandaoni zipo salama au ndo hukumbuki hata ni akaunti ngapi za Instagram umefungua na hauzitumii tena zipo tu zinazagaa.
Hivyo basi nakusihi uungane nami kwenye video hii kisha usubscribe channel yetu ili kujifunza utu na masuala yanayowahusisha watu! Shukran
 
Back
Top Bottom