Usalama wa Maji juu ya matanki.

Uuwiiii. Si yanakuwaga na mifuniko Mkuu au ndio tuseme wamefungua mfuniko?

Aiseeeee. Hatari sana.
 
Kwani hawafunui mfuniko hao jamaa!!!
 
Wanapiga mbizi, wanaachia madiva humo, wanakojolea humoo..... tena walivyo washenzi wanaweza hata kudingana humo! dah.... watatuletea ebola hawa!
 
Joto kali sana huku india acha na sisi tuoge๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ