Usalama wa gari lako uko mashakani

Usalama wa gari lako uko mashakani

Bicycle tracking system haipo mkuu, nahitaji kuweka kwenye baiskeli yangu.
 
kwa huduma bora za vifaa vya usalama vya kisasa kama electric fence, cctv camera, Automatic gates, car tracking systems, Intruder alarms, fire alarms , Access control system tupigie 0714890018 .
 
Usikose kufunga automatic gate kwenye nyumba yako kwa bei nafuu zaidi iwe ni geti la kuvuta upande mmoja (sliding gate ) au la kufungua pande zote mbili .
Bei zetu ni nafuu na kazi ni ya uhakika gharama ya kufunga geti moja ni kati ya shilingi 2,000,000 mpaka 2,500,000 , lakini ukitoa order maalum gharama za kufunga zitapungua na kuwa kati ya 1,500,000 mpaka 2,000,000 kwa hela ya kitanzania.
Piga simu namba 0714890018
sliding gate.jpg
swinging gate.jpg
 
Linajifungua lenyewe au mpaka lifunguliwe na mtu???
 
unaweza kupatiwa remote , unapobonyeza ndio linajifungua au unaweza kuwekewa sensa likawa linajifungua lenyewe inapohitajika au kudetect gari
 
Aise ekumbe sio ghali,maana nilikuwa nikiona kwenye nyumba najua bei kubwa saana

Huu uoga aisee ndio mzigo wetu,umaskini nao bila kujifunza ni Ugonjwa,sio kila kitu alichonachoa tajiri kwamba maskini unashindwa kumiliki,ila vingi ni hofu yetu tu

Mkuu bei rahisi,mambo yangu yakikaa sawa nitakututa

Ila ingekuwa vizuri zaidi ungetumia picha halisi za kazi zenu,ingevutia zaidi,ila hizo naona ni za kule kwa kina kadashian
 
muda mwingine ni ngumu kupiga picha vitu vya mteja na kupost kwenye public , huwa hatupendelei kupiga sana picha vitu vya wateja wetu , ila nakuhakikishia utafurahi ubora wa kazi utakayokufanyia na kama tutapata picha zozote za kazi ambazo mteja atakuwa tayari kushare in public basi tutazitumia hizo karibu ndugu.
 
Kwa mtu mwenye uelewa hii post yako inaacha maswali mengi kuliko majibu. Unfortunately ndo business approach ya waTanzania wengi.

All the best mkubwa!
 
nipo hapa kujibu swali lolote litakalokutatiza . Kama unalo unaweza kuuliza na nitakujibu . Lakini unaweza wewe mwenyewe kufikiria mafundi wamefika katika nyumba yako na wanapiga picha mazingira ya nyumbani kwako na kuja kuleta kwenye mitandao ya kijamii . Tumefanya kazi nyingi sana na hatuoni kama hilo ni jambo zuri kulifanya kwa wateja wetu vinginevyo ilazimike au mteja mwenyewe aridhie. Karibu
 
muda mwingine ni ngumu kupiga picha vitu vya mteja na kupost kwenye public , huwa hatupendelei kupiga sana picha vitu vya wateja wetu , ila nakuhakikishia utafurahi ubora wa kazi utakayokufanyia na kama tutapata picha zozote za kazi ambazo mteja atakuwa tayari kushare in public basi tutazitumia hizo karibu ndugu.

Mkuu, sio lazima utumie picha za wateja kwani unaweza kutengeza sampuli ya picha kadhaa ambazo unapata kutoka kwa supplier wako.

Baada ya hapo unapiga picha zingine mbalimbali katika sehemu mbalimbali ukifanya mfano wa geti au kwenye yard yako.

Pili, ukipata picha hizo na maeelo yaloshiba unajiweka kwenye website ambayo inakuwa rahisi kwako kuwasiliana na wateja kwa barua pepe na mambo mengine.

Ila hivyo ni vitu vya kawaida sana na kwa Tanzania jitahidi uwe mtaalam pekee na je unatoa after service?
 
Naunga mkono joja
Nikweli ni mbaya kuweka post ya picha kwa mwenye nyumba yaani geti likiwa fixed tayari,inakuwa haipo vyema.
Ila unaweza kulipiga wakati likiwa kwenye kiwanda chenu kabla ya kulihamisha,as sample.
Website hata ya page moja ni nzuri zaidi mkuu,hafikifi hata laki sita kwa website simple
 
sisi hatutengenezi mageti , tunachofanya ni kufunga mtambo/mashine itakayokuwa inalifungua na kulifunga geti hapo itajumuisha ufungaji wa sensa na vitu vingine. Sasa kitu ambacho naweza kukuonyesha ni mashine tu.
 
Back
Top Bottom