Usalama katika nchi kama Iran

biarakeyz

Senior Member
Jan 19, 2016
183
47
Habari zenu wakuu!nimatumaini yangu kwamba mwaendelea salama,nina mambo mawili ambayo yaniumiza kichwa kuhusu taifa la IRAN.

Kutokana na sikiasikia zangu inaonyesha iran sio taifa salama kwa kuishi napia ata shughuli nyingine za kimasomo,hivyo tetesi zmenfanya nijijengee notation iyo kwamba iran sio safe kabsa kwa kuishi pasipo kuwa na uhakika.

Je nikwel kwamba iran sio salama kabisa kwa kuishi kusema kwamba mtu auwez ishi miaka kazaa pasipo tokea vita na kero nyingine?

Pia pia kitu kingne kinacho nikwamba iran nimoja ya nchi zenye uchumi wakati lakin ukiangalia pesa yao Iranian rial nipesa yenye saman ndogo kuliko ata pesa ya kitanzania,je hi nimoja ya sababu ya kusema kwamba maisha katika nchi ya iran ni ghali sana kuyaendesha in case of daily food expenditure kutokana na pesa yao kutokuwa na thaman?

Msaada wa maelezo tafadhali kwa wale wenye uelewa mzuri juu ya taifa hili..
 
Huu uandishi sasa pasua kichwa unaonaje ukamilishe kwanza somo la kuadika ndiyo uje huku.
uandishi co tija,msaada kwanza ndipo unikosoe,typing error tu iyo that's why we are not completely perfect,hvo uenda nami ndo weakness yangu ipo apo
 
navipI kuhusu gharama za maisha kwamba ni ghali kuliko ata tanzania kutokana na pesa yao kukosa thaman,kwamba unaweza kua na ata dola 4 kwa siku ukashndwa kuafford gharama za chakula?
From what I knw ni nchi inayoendelea kwa kasi interms of technology
 
Kama Iran sio salama nenda Somalia au Syria,hakuna nchi yenye guarantee wa usalama in 100% tunashuhudia mauaji kuanzia USA mpaka FRANCE na kwingineko,Iran ukifuata sheria na nidhamu zao hakuna tatizo lolote.
 
msada plz ndipo unikosoe japo nawe naamini katika uandishi ujakamilika,kwamba katika mitihan yote ushawai ifanya ujawai kosea ata ata herufi katka uandshi?kwamba kila mtihan ww ulikuwa wapata 100,so nisaidie kwanza npate kujua ndipo unikosoe
Jifunze kuandika kwanza.
 
Umekusudia kiusalama kivipi ? Kama kuna majambazi, wakabaji n.k ? Hilo kila nchi wanalo hata hao wanojisifu pia yapo hayo. Aidha kuwa na usama wa kushambuliwa kijeshi, hilo nahisi hamna hata nchi moja isokiwa na khofu huyo kwa hizi nchi zetu, ona zengwe walilomtengenezea Gadafi kile Libya.
Kuhusu pesa na kuwa na thamani, pesa ya ITALY ile LIRA kabla ya kuja euro, tuliipita sana na ilhali uchumi wao ni mkubwa kuliko wetu. LIRA 10,000 ( elfu kumi ) ilikuwa Sawa na 500 ( mia tano ) za tz .
 
navipI kuhusu gharama za maisha kwamba ni ghali kuliko ata tanzania kutokana na pesa yao kukosa thaman,kwamba unaweza kua na ata dola 4 kwa siku ukashndwa kuafford gharama za chakula?
Mkuu Iran ilikuwa kwenye vikwazo vya kiuchumi kwa miaka mingi sana,ila kwa sasa vikwazo vimeondolewa na Iran itakuwa juu tena kiuchumi.
 
Kuna taratibu za kiuandishi.. Makosa yapo madogo madogo ila wewe umezidi.
 
Back
Top Bottom