Usalama barabarani............trafiki wako wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usalama barabarani............trafiki wako wapi?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Rutashubanyuma, Jan 27, 2011.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,716
  Trophy Points: 280
  [​IMG] Mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Oysterbay, Dar es Salaam, Rashid Omary, akisimamisha magari ili wanafunzi wenzake wavuke katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi eneo la Oysterbay. Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohamend Mpinga ameuzindua mfumo huo wa wanafunzi kujivusha wenyewe.(Picha na Hassan Mndeme wa Jeshi la Polisi).
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,716
  Trophy Points: 280
  Nilifikiri usalama barabarani ni zaidi ya wiki ya kwenda kwa usalama........................

  [​IMG]
   
 3. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2011
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,716
  Likes Received: 3,125
  Trophy Points: 280
  Ya kawaida hayo mbona hata 1st world countries wanafanya mbona. Afadhali wanafunzi wenyewe wafanye wakiwekwa trafic wa bongo wataishia kuomba rushwa hata kusiko husika wataacha kufanya kazi waliyotumwa mimi naona ni sawa tu.
   
 4. Novatus

  Novatus JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2011
  Joined: Jul 28, 2007
  Messages: 331
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  haya ni maendeleo si tendo la kubeza
   
 5. Wakumwitu

  Wakumwitu JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  "Very well disciplined" tunaomba tuu madereva waheshimu na hii pia siyo tuu wakiona nguo nyeupe ndiyo wasimame.
   
 6. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  safi sana!
   
 7. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,001
  Trophy Points: 280
  hiyo nzuri mkuu
   
 8. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  wanawaandaa kuwa trafic wa baadae sio au maendeleo ya nini?
   
 9. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #9
  Jan 27, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,716
  Trophy Points: 280
  Matrafiki baadaye walijitokeza kuunga mkono....na ikapendeza zaidi.................................................

  <table width="100%" align="left" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr bgcolor="#ffffff"><td class="kaziBody" bgcolor="#ffffff">Thursday Jan 27, 2011
  </td> </tr> <tr bgcolor="#ffffff"> <td class="kaziBody" bgcolor="#ffffff"> [​IMG] </td> </tr> <tr bgcolor="#ffffff"> <td class="kaziBody" bgcolor="#ffffff">KUMBUKUMBU Standard six pupil, Saida Mwalimu (third left) practises the method of helping her colleagues to cross the road on zebra during the practical lesson conducted by traffic police officers in collaboration with CRDB bank in Dar es Salaam on Wednesday. Pupils were taught safety road regulation and appeal was made for drivers to adhere on driving ethics to avoid an unnecessary accidents. (Photo by Robert Okanda)</td></tr></tbody></table>
   
 10. M

  Mkare JF-Expert Member

  #10
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ooh, poa basi...:clap2:
   
 11. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #11
  Jan 27, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Wazo zuri sana ila sidhani kama litadumu
   
 12. Obi

  Obi JF-Expert Member

  #12
  Jan 27, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 376
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Madereva wa first world wanaheshimu sheria za barabarani. Kwa mfano ukienda Ugerumani mtembea kwa miguu sheria inamlinda zaidi kuliko mwenye gari. Ukisababisha ajali unanyanywa lesseni yako na faini juu. Hapa kwetu madereva hajui na hawafuati sheria za barabarani ndio maana ajali haziishi.
   
Loading...