Usajiri bila kufanya vipimo vya afya ni tatizo

Usajiri bila kufanya vipimo vya afya ni tatizo

mansoorsaid

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2014
Posts
1,498
Reaction score
286
nasikitika vilabu vinavyokurupuka kusajiri bila vipimo kwa wachezaji mfano timu yetu ya simba wamemsajiri kiongera anamatatizo ya goti usajiri wa simba wanaangalia tu kwenye yutub hapo kiongozi anakula dili ya kumnunua mllioni 20 anaidai klabu milioni 40
 
1. Kim Kallstrom.
Mwaka huu mwezi wa 1, alisajiliwa na Arsenal. Alikaa benchi miez 2 mana alikuja akiwa majeruhi.

2. Frank Domayo.
Ametua Azam akitokea Yanga akiwa mgonjwa. Mpaka sasa hajui raha ya nyasi bandia za Azam Complex. Mungu mponye haraka huyu kijana mana Yanga walitaka kumpoteza.

3. Roic Remy.
Alifeli vipimo Liverpol ila akasajiliwa Chelsia hivyo hivyo. Na mpaka sasa anapigishwa mzigo.

4. Mrisho Ngasa.
Alitua Yanga akiwa na maumivu ya nyama za paja, hadi leo anachezeshwa. Sijui mtamtibu lini.

5. Joseph Owino. Huyu alishauriwa na Ma Dr wa Simba Sc kuwa anatakiwa apumzike miezi 6. Aligoma, akakimbilia Azam. Huko aliumia na akakaa benchi zaidi ya miezi 6.

... mifano ya wachezaji wanaosajiliwa wakiwa majeruhi haipo bongo tu, hata kwa wanaojua mpira ipo lukuki.

Mkuu mansoorsaid hamkufahamu kuwa kumchezesha Domayo akiwa majeruhi, mlikuwa mnampunguzia mda wa kufurahia kipaji chake?

NB: Kudos Ma Dr wa Simba Sc na Azam kwa kuwa makini na afya za wachezaji wenu tofauti na wale wa mtaa wa pili.
 
Last edited by a moderator:
1....?

NB: Kudos Ma Dr wa Simba Sc na Azam kwa kuwa makini na afya za wachezaji wenu tofauti na wale wa mtaa wa pili.

Kumbe wale wa MIREMBE wamo humu!!!!
ImageUploadedByJamiiForums1411744710.897699.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom