Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,154
- 13,267
Nimesikia tetesi za wachezaji wapya wanaotaraji kusajiliwa Simba, akina Serunkuma kwa mfano toka Gor Mahia ambaye licha ya jina kubwa nilimuona kama mchezaji wa kawaida sana wakati simba ilipopepetana na Gor Dar
Lengo la ujumbe wangu kwa viongozi wa simba nikiwa kama mwanachama ni kuwakumbusha kutosahu kupima afya za wachezaji watakaosajiliwa dirisha dogo kwani tuna kumbukumbu za karibuni tu za mchezaji aliye majeruhi bila kusahau wachezaji waliowahi kutugharimu kama akina Hillary Echesa
Straika majeruhi wa Simba, Patrick Kiongera, anatarajia kuondoka nchini ndani ya wiki moja kwenda India kwa ajili ya matibabu. Tayari daktari atakayemtibu ameishampangia siku ya kuanza kazi hiyo, baada ya kupunguza kazi zilizokuwa zimembana.
Mmoja wa viongozi wa Kundi la Friends of Simba (FOS), amesema uongozi wa Klabu ya Simba umeandaa dola 5,000 (Sh milioni 8.5) kwa ajili ya matibabu hayo.
Matibabu pekee ni dola elfu tano, uongozi wa Simba umeandaa kiasi hicho cha fedha kwa ajili ya matibabu.