Usajili wa line za simu baada ya Januari 2020

Musundi

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
1,583
2,600
Naomba nisaidiwe kujua hili:

Kawaida ukishasajiliwa kwa alama za vidole kwa ajili ya kupewa kitambulisho cha NIDA, namba ya kitambulisho hicho (NIN) hupewi hapo hapo. Inachukua siku hata miezi kuja kuipata.

Sasa watakaojisajili, mfano wiki ya mwisho au baada ya 1 Januari 2020 kabisa watasajilije line zao maana namba zitakuwa bado hazijapatikana.
Nawasilisha!
Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duu muda si mrefu nimetoka kumpeleka wife akafanye mchakato Wa kupata namba,wamemwambia akafate hiyo namba tarehe 30 mwezi Wa kwanza na sisi tukabaki tunashangaa tu hasa ukilinganisha na kauli ya mkuu
 
Back
Top Bottom