Usajili wa bidhaa TFDA

ipyax

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
3,983
6,161
Habari za kazi wapendwa wa JamiiForums, nimepost hii mada kwa ajili ya kutafuta mtu ambaye ana uzoefu wa kuomba vibali vya import mamlaka ya chakula na dawa.

Kuna bidhaa ya matumizi ya kawaida lakini TFDA wameiweka katika kundi la vifaa tiba (medical equipment), nahitaji kuiombea import permit ili niweze kufanya biashara. Kama Kuna mtu ambaye anaweza kuifanya hii kazi ni inbox no yako tuwasiliane ili tuweze kakubaliana gharama kazi ifanyike. It's urgent, ahsanteni sana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom