Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
Poleni sana wakuu, sisi Mashabiki makungwi wa ARSE8 tumeshazoea vichapo na kucheza EUROPA hadi kuota sugu "KUTU" kwenye mioyo yetu [emoji16]shida hatuendi champions league mkuu kupata wachezaji inakuwa shida
Na hiyo ndoto ibarikiwe iwe KWELIUsiku wa leo nimeota ndoto kuwa mechi ya kwanza kwenye ligi mtachezea nyingi sana
Ndo hapo sasa, siku hizi watu wamevamia katika ushabiki wa mpira alafu hawajui kituUnalalamika hata dirisha la usajili halijafunguliwa
Wewe unajua nini?Ndo hapo sasa, siku hizi watu wamevamia katika ushabiki wa mpira alafu hawajui kitu
Hata kama bado, ila dalili ya mvua ni mawingu na siku zote biashara asubuhi. Madrid washafikia makubaliano na Tchouameni so dirisha likifunguliwa tu wanamtangaza. Sisi tunakwama wapi?Unalalamika hata dirisha la usajili halijafunguliwa
Unafikiri Man United ni kama Simba na YangaWewe unajua nini?
Una mawazo mgando, kuna sehemu nimetaja hivyo vilabu? You are such a tabularasaUnafikiri Man United ni kama Simba na Yanga
😂😂😂daah hii futuhi sio mchezo mkuu sema tushazoea tuu timu yetu ni mbovuPoleni sana wakuu, sisi Mashabiki makungwi wa ARSE8 tumeshazoea vichapo na kucheza EUROPA hadi kuota sugu "KUTU" kwenye mioyo yetu [emoji16]
Ulikuwa mbele ya mudaZimebaki wiki mbili kabla ya pre season ya Man Utd ianze mwishoni mwa mwezi huu lakini mpaka leo hakuna usajili wowote uliofanyika.
Mashabiki wa Man Utd wana matumaini makubwa sana Kocha mpya wa Man Utd, Eric Ten Hag (ETH), lakini matumaini hayo yanaweza yakayeyuka kama hatopewa/kusajiliwa kwa wachezaji ambao watafiti mfumo wake.
Ikumbukwe Man Utd imetangaza kuwaacha wachezaji kadhaa ambao wamemaliza mikataba yao kama vile Paul Pogba, Matic, Mata, Lingard huku wakitegemea kuwauza akina Aaron Wan Bissaka nk
Baadhi ya timu barani ulaya zipo bize na usajili, kama Real Madrid, Spurs, nk lakini Man Utd wapo kimya mpaka sasa...
Je, ETH anaanza kuandaliwa mipango ya kufeli kama ilivyokuwa kwa watangulizi wake? Tatizi ni nini pale Man Utd??
Point hiiMchezaji gani ataacha kwenda team inayoshiriki UEFA champions league aende europa league bakini na hao kina rashford kwanza mpaka mfuzu UEFA.
Duniani kuna wachezaji wazuri na vipaji kibao wasio na majina.Mchezaji gani ataacha kwenda team inayoshiriki UEFA champions league aende europa league bakini na hao kina rashford kwanza mpaka mfuzu UEFA.