Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 123,266 Reaction score 98,318 Jun 23, 2019 #1 Nimepita sehemu nikakuta mabishano ila nikapata picha hiyo hapo chini. Najiuliza je haya hatakuwa yale ya koroshow?
Nimepita sehemu nikakuta mabishano ila nikapata picha hiyo hapo chini. Najiuliza je haya hatakuwa yale ya koroshow?
Simple F JF-Expert Member Joined Nov 17, 2016 Posts 1,302 Reaction score 1,794 Jun 23, 2019 #2 Ghafla Yanga amepata nguvu ya kusajili sokoni kuliko Simba yenye mtaji wa B20ml mpira wa Bongo pasua kichwa
Ghafla Yanga amepata nguvu ya kusajili sokoni kuliko Simba yenye mtaji wa B20ml mpira wa Bongo pasua kichwa