Hakuna wa kuidharau ligi ya sudani,bali ukiona mchezaji kaachwa na hizo timu basi jua iko namna,
Sio kila mchezaji anayeachiwa ni mbaya, sababu huwa ni nyingi, mfano Kotei ametoka Simba ni mbaya? Au Kagere alivyotaka Gormahia buree ni mbaya?
Hakuna wa kuidharau ligi ya sudani,bali ukiona mchezaji kaachwa na hizo timu basi jua iko namna,
Mbona usajili wa Yanga hata hamna thread ya kuusifia.Wako waliodai eti usajili huu watu watazimia lkn ukichunguza kwa makini hapo msimbazi utagundua kuwa TAJIRI KANUNA,haiwezekani timu inayotamba kuwa levo ya MAZEMBE,AS VITA,AL AHAL,MAMELOD SUNDOWN,ishindwe kupata vifaa vilivyopo AFCON badala yake iende kusajili mtu anayecheza ligi ya SUDANI au INDIA,au VIETNAM,mwisho iende mazembe lkn isajili mchezaji asiye na namba ktk kikosi cha mazembe,sio bure iko jambo,ma fans wa simba kaeni mutafakari,usajili wa mwaka jana ulikuwa bora kuliko mwaka huu,(3brazili),(1sudani)=4,(1drc)=5,+chama+kagere+wawa=,8,hao ndio wachezaji wa kigeni ambao tayari wako msimbazi,nafasi zilizobaki ni 2, je ni okwi + juuko?au ninani,kwa lugha nyepesi simba imeshindwa kupata hata nyota mmoja kutoka AFCON zaidi ya waliokuwepo,
Simba waende pale Angola wakamsajili Bruno Gasper fullback ya kulia.Wako waliodai eti usajili huu watu watazimia lkn ukichunguza kwa makini hapo msimbazi utagundua kuwa TAJIRI KANUNA,haiwezekani timu inayotamba kuwa levo ya MAZEMBE,AS VITA,AL AHAL,MAMELOD SUNDOWN,ishindwe kupata vifaa vilivyopo AFCON badala yake iende kusajili mtu anayecheza ligi ya SUDANI au INDIA,au VIETNAM,mwisho iende mazembe lkn isajili mchezaji asiye na namba ktk kikosi cha mazembe,sio bure iko jambo,ma fans wa simba kaeni mutafakari,usajili wa mwaka jana ulikuwa bora kuliko mwaka huu,(3brazili),(1sudani)=4,(1drc)=5,+chama+kagere+wawa=,8,hao ndio wachezaji wa kigeni ambao tayari wako msimbazi,nafasi zilizobaki ni 2, je ni okwi + juuko?au ninani,kwa lugha nyepesi simba imeshindwa kupata hata nyota mmoja kutoka AFCON zaidi ya waliokuwepo,
Watu wanaidharau ligi yetu wakati hapa Africa mashariki na kati sidhani kama kuna ligi inatukutaSio kila mchezaji anayeachiwa ni mbaya, sababu huwa ni nyingi, mfano Kotei ametoka Simba ni mbaya? Au Kagere alivyotaka Gormahia buree ni mbaya?
Mazembe kasajir nani w afcon x kasajir mchezaj toka mbeaya city au unajisalishaWako waliodai eti usajili huu watu watazimia lkn ukichunguza kwa makini hapo msimbazi utagundua kuwa TAJIRI KANUNA,haiwezekani timu inayotamba kuwa levo ya MAZEMBE,AS VITA,AL AHAL,MAMELOD SUNDOWN,ishindwe kupata vifaa vilivyopo AFCON badala yake iende kusajili mtu anayecheza ligi ya SUDANI au INDIA,au VIETNAM,mwisho iende mazembe lkn isajili mchezaji asiye na namba ktk kikosi cha mazembe,sio bure iko jambo,ma fans wa simba kaeni mutafakari,usajili wa mwaka jana ulikuwa bora kuliko mwaka huu,(3brazili),(1sudani)=4,(1drc)=5,+chama+kagere+wawa=,8,hao ndio wachezaji wa kigeni ambao tayari wako msimbazi,nafasi zilizobaki ni 2, je ni okwi + juuko?au ninani,kwa lugha nyepesi simba imeshindwa kupata hata nyota mmoja kutoka AFCON zaidi ya waliokuwepo,
Kahata Hutu aliyehenyeshwa na ccmstars mpaka akatolewa kipindi cha kwanza tu.kahata hakuwepo Afcon??
Kwa hiyo wachezaji wa Makonda stars ni bora maana Kahata alitweta akatolewa mapema sana.Usikariri vitu, nakupa mfano Francis Kahata ni bonge la mchezaji akikutana na mbugira mbugira wa Afrika mashariki ila Afcon kakutana na best players hakuna alichokifanya.
Hawa wachezaji waliosajiliwa na Simba SC wote kwa ujumla wao wako 50/50 huenda wakafanya vizuri au vibaya.
Medy Kagere msimu wake wa kwanza tu kawa fire ni nani alitarajia hili?
Je Balinya wa Yanga unauhakika kuwa atafanya vizuri TPL?
Tutaanza kuwahukumu au kuwapongeza baada ya ligi kuanza kwa sasa kaeni kimya
Kama Thomas Ulimwengu si ndio....Anayeidharau ligi ya Sudan atakuwa hajui anachokizungumza.
Kwa taarifa yako, sio rahisi kumchukua mchezaji kutoka Sudan kwa timu kama Al Hilal na El Meriekh.
Tena hata hivyo Simba wamefanya usajili wa watu wengi, kwa timu waliyokuwa nayo msimu uliopita, walitakuwa kuongeza vichwa 3 tu kutoka nje na wachezaji labda 4 kutoka ndani. Sema ubora wa wachezaji wa ndani ndio una shaka kwa aina ya malengo ya Simba.
Namuona Thomas Ulimwengu hapa....Hakuna wa kuidharau ligi ya sudani,bali ukiona mchezaji kaachwa na hizo timu basi jua iko namna,
Mazembe ni levo ingine, kwanza huwezi kuta inasajili wachezaji nusu ya timu,pili huwa wanasajili kwa mahitaji maalumu ya muda mfupi na muda mrefu na kwa kuwa wanafanya scout lazima wasajili vipaji na mikataba mirefu,tofauti na yanga na simba unakuta karibu kikosi kizima cha simba na yanga hakuna mchezaji wa mkataba miaka mitanoMazembe kasajir nani w afcon x kasajir mchezaj toka mbeaya city au unajisalisha
Samahani,sihitaji imsajili nani,bali atakayesajiliwa aakisi kauli ya simba,kuwa inataka isajili nyota wazuri ili iwe sambamba na kina.AHALY,huwezi taka hivyo alafu ufanye haya bado utegemee matokeo bora,
Makonda anajijuwa mwenyewe mpenda sifa yule timu lilikuwa bovuKwa hiyo wachezaji wa Makonda stars ni bora maana Kahata alitweta akatolewa mapema sana.
Mbumbumbu FC.Wako waliodai eti usajili huu watu watazimia lkn ukichunguza kwa makini hapo msimbazi utagundua kuwa TAJIRI KANUNA,haiwezekani timu inayotamba kuwa levo ya MAZEMBE,AS VITA,AL AHAL,MAMELOD SUNDOWN,ishindwe kupata vifaa vilivyopo AFCON badala yake iende kusajili mtu anayecheza ligi ya SUDANI au INDIA,au VIETNAM,mwisho iende mazembe lkn isajili mchezaji asiye na namba ktk kikosi cha mazembe,sio bure iko jambo,ma fans wa simba kaeni mutafakari,usajili wa mwaka jana ulikuwa bora kuliko mwaka huu,(3brazili),(1sudani)=4,(1drc)=5,+chama+kagere+wawa=,8,hao ndio wachezaji wa kigeni ambao tayari wako msimbazi,nafasi zilizobaki ni 2, je ni okwi + juuko?au ninani,kwa lugha nyepesi simba imeshindwa kupata hata nyota mmoja kutoka AFCON zaidi ya waliokuwepo,
NotedMtashangaa tena kama mlivyoshangaa mwaka uliopita maana ndo kazi yenu kuponda usajili then yanawatokea puani
wakwe zake wapo huko somalia ndio anataka wasajiliwe na simba,Wewe unataka imusajiri nani?
Isikupe shida,ukitaka kujua uwezo wa waliosajiliwa na simba angalia profile zao,,anza na huyu 'aliyewahi kutamba mazembe2009/2013,nenda kwa wabrazili wa INDIA na VIETNAM,,,,endelea