Usajili huu wa simba,mashaka matupu

Usajili huu wa simba,mashaka matupu

Kwa kuwa nyie mmesajili wa AFCON kama Sonso, Mnata na kipa wa kenya.
Muda utaongea na Ali mtoni wenu
 
Sio kila mchezaji anayeachiwa ni mbaya, sababu huwa ni nyingi, mfano Kotei ametoka Simba ni mbaya? Au Kagere alivyotaka Gormahia buree ni mbaya?
Mkuu hawajui hata Kahata, Walusimbi hawana timu ... Nyoni, Bocco, Haruna, Manula, Kagere, Kakolanya n.k kazi yao wanaijua
 
Simba waende pale Angola wakamsajili Bruno Gasper fullback ya kulia.
Mbadala ya juuko wakamchukue Timothy Awany wa KCCA ya uganda.
Ni dhihaka kubwa sana kwa timu kama simba kumsajili Kennedy Wilson ambaye hata kuzima mpira hawezi halafu tukategemea maajabu kwenye ligi.
Kennedy na Mlipili kuna mashindano kama FA na Mapinduzi watacheza... halafu ukumbuke nafasi za nje ni 10 tu, huwezi kuwa na beki wote wageni unapunguza gape la nafasi ya kati na mbele
 
Wako waliodai eti usajili huu watu watazimia lkn ukichunguza kwa makini hapo msimbazi utagundua kuwa TAJIRI KANUNA,haiwezekani timu inayotamba kuwa levo ya MAZEMBE,AS VITA,AL AHAL,MAMELOD SUNDOWN,ishindwe kupata vifaa vilivyopo AFCON badala yake iende kusajili mtu anayecheza ligi ya SUDANI au INDIA,au VIETNAM,mwisho iende mazembe lkn isajili mchezaji asiye na namba ktk kikosi cha mazembe,sio bure iko jambo,ma fans wa simba kaeni mutafakari,usajili wa mwaka jana ulikuwa bora kuliko mwaka huu,(3brazili),(1sudani)=4,(1drc)=5,+chama+kagere+wawa=,8,hao ndio wachezaji wa kigeni ambao tayari wako msimbazi,nafasi zilizobaki ni 2, je ni okwi + juuko?au ninani,kwa lugha nyepesi simba imeshindwa kupata hata nyota mmoja kutoka AFCON zaidi ya waliokuwepo,
Msimu huu tutaona mengi sana
 
Kwa hiyo wachezaji wa Makonda stars ni bora maana Kahata alitweta akatolewa mapema sana.
Baada ya Tanzania kupata goli dakika za mapema kocha akaona apunguze kiungo aweke mshambuliaji.
Sio kutota.. Usikariri sub ya mapema ni ubovu ila sometime ni mfumo
 
Kennedy na Mlipili kuna mashindano kama FA na Mapinduzi watacheza... halafu ukumbuke nafasi za nje ni 10 tu, huwezi kuwa na beki wote wageni unapunguza gape la nafasi ya kati na mbele
Sasa huyo Kennedy si atakuja kuwabania namba vijana tu ?

Hata kama amesajiliwa kwajili ya mashindano madogo hana kiwango cha kuchezea simba wakati kuna homegrown player mwenye kiwango saw a naye tu.

Mapungufu ya simba ya wazi ni fullback wa kulia kutokana kapombe kuwa spanner mkononi, kushoto.
 
Hata Nyoni ameshakuwa spana mkononi mkuu... mbavu namba 2 inabidi ifanyiwe kazi kabisa
 
Hata tatu ya Tshabalala anahitaji back up.

Kingine usajili huu ni wa maveteran hautaisaidia club wachezaji wote waliosajiliwa wako 30 waliobaki first 11 nao karibu wote wanaturn 30 hivi hawa simba wanatengeneza team ya aina gani ?
Hata Nyoni ameshakuwa spana mkononi mkuu... mbavu namba 2 inabidi ifanyiwe kazi kabisa
 
Nyoni 30
Bocco 30
Wawa. 30
Gyan. 30
Kagere 30
Hao wabrazil mmoja ana 30
Chama 28
Mkude 27
Okwi 29

Hii ndiyo timu ya ushindani ?
 
Hata tatu ya Tshabalala anahitaji back up.
Kingine usajili huu ni wa maveteran hautaisaidia club wachezaji wote waliosajiliwa wako 30 waliobaki first 11 nao karibu wote wanaturn 30 hivi hawa simba wanatengeneza team ya aina gani ?
Africa hata 33 anagusa gozi mkuu.. ukiongeza na mikataba ya miaka miwili.. pia timu zetu zinapenda kusajili wapya 7+ kila season
 
Nyoni 30
Bocco 30
Wawa. 30
Gyan. 30
Kagere 30
Hao wabrazil mmoja ana 30
Chama 28
Mkude 27
Okwi 29
Hii ndiyo timu ya ushindani ?
Gyan hana 30 mkuu... Halafu umri ni namba tu we angalia kazi yao tu..
Hata hao Mazembe wana Mputu 32+
 
Nyoni 30
Bocco 30
Wawa. 30
Gyan. 30
Kagere 30
Hao wabrazil mmoja ana 30
Chama 28
Mkude 27
Okwi 29

Hii ndiyo timu ya ushindani ?
Pascal Wawa alizaliwa mwaka 1985
 
Back
Top Bottom