nkungu mwere
JF-Expert Member
- Sep 6, 2018
- 258
- 336
Wako waliodai eti usajili huu watu watazimia lakini ukichunguza kwa makini hapo msimbazi utagundua kuwa TAJIRI KANUNA, haiwezekani timu inayotamba kuwa levo ya MAZEMBE, AS VITA, AL AHLY, MAMELOD SUNDOWN, ishindwe kupata vifaa vilivyopo AFCON badala yake iende kusajili mtu anayecheza ligi ya SUDANI au INDIA, au VIETNAM, mwisho iende Mazembe lakini isajili mchezaji asiye na namba katika kikosi cha Mazembe.
Sio bure iko jambo, ma fans wa simba kaeni mutafakari, usajili wa mwaka jana ulikuwa bora kuliko mwaka huu,(3brazili),(1sudani)=4,(1drc)=5,+chama+kagere+wawa=,8,hao ndio wachezaji wa kigeni ambao tayari wako msimbazi,nafasi zilizobaki ni 2, je ni Okwi + ju uko? au ni nani, kwa lugha nyepesi Simba imeshindwa kupata hata nyota mmoja kutoka AFCON zaidi ya waliokuwepo.