Usajili Dirisha Dogo Vodacom TZ Mambo hayo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usajili Dirisha Dogo Vodacom TZ Mambo hayo.

Discussion in 'Sports' started by Kenge (Eng), Nov 25, 2009.

 1. K

  Kenge (Eng) JF-Expert Member

  #1
  Nov 25, 2009
  Joined: Dec 7, 2006
  Messages: 502
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Tumesikia ya YANGA wakenya wote nje, kwa nini? iweje mchezaji awe mfungaji bora msimu uliopita akose hata kufunga goli moja msimu unaofuata. Ndo uchawi kama tunavyoamini sisi waswahili au kuna jambo. Mpira hauna uchawi. Tunawatukuza Wa Nigeria kwa hilo lakini mbona wamefulia tena nyumbani mbele ya nguli wote wakati wa kombe la dunia U17 mwezi huu?

  Joshua wa Yanga na Mike Katende wa Kagera Sugar wafungaji bora mwaka juzi mwaka jana hata namba hawakupata kwenye first eleven!!! Mwaka jana Ambani wa Yanga mwaka huu mpaka mzunguko wa kwanza unaisha hana hata goli moja. Katimuliwa tayari!!!

  Kagera Sugar walikuwa tishio miaka karibu mitatu iliyopita wakitandaza mpira wa Ki Asernal wa Bongo haya mwaka huu ni chocholo we acha tu, kisha eti kocha mgeni amekuja na staili ya kuwa bubu kwenye benchi. Huyu bwana ni mwiko kuamuka akisema playazi hwayitaji disturbance.

  YAMEMKUTA yeye baada ya mechi ni kuimpoti mademu wa Kiganda na timu katerekeza, DIRISHA DOGO HILO limemmulika "KAFUKUZWA" TFF tayari wametwangwa taarifa.

  Source:- +255 784 406 689 and +255 784 289 628.
   
 2. M

  Mayolela JF-Expert Member

  #2
  Nov 25, 2009
  Joined: Sep 21, 2009
  Messages: 383
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tatizo la Yanga magazeti ndio yanacheza sio wachezaji??????duh.
   
Loading...