The boss unapingana na wanakemia phd Olympics wanaowapima na kila baada ya gemu?tungekwisha sikia zamani usicheze na mzungu.
swissme
Hivi kuna mtu yeyote anaefuatilia Olimpic games na kumuona huyu Usain Bolt anachokifanya?
hivi inawezekana binadaamu wa kawaida akafanya hivi?
yaani mtu akimbie hadi kuamua kukimbia huku anawatazama wenzie tu wasimzidi
nikama vile yuko mazoezini na watoto wa chekechea...
is this normal?
binafsi nakataa kuamini
hasa baada ya kusoma historia ya Carl Lewis....
ambae nae alikuwa anavunja rekodi za kila aina
kumbe alikuwa anatumia drugs na hakuwahi kukamatwa hadi ana staafu
kuna kipindi alishinda shindano la mbio huku aliowashinda wengine saba wote walikuwa wanatumia
madawa.....aliekuja kukamatwa alikuwa Ben Johnson wa Canada....
Karl Leewis alikuwa wa pili huku wengine saba wote ni drugs tupu....
Binafsi naamini Usain Bolt hana tofauti na Lance Armstrong ...
only time will tell.......
Kama anatumia madawa basi anastahili medali zingine 10 za dhahabu kwa kuweza kuwashinda wanasayansi vichwa wanaotumiwa na vyombo mbalimbali kuwapima wanamichezo wa mashindano ya Olimpiki!
Mtu tokea 2008 hajakamatwa hata mara moja?
Huyo lazima awe 'genius' flani!
Hususan ukizingatia maendeleo ya sayansi na teknolojia yaliyopo hivi sasa!
Si kwenye World championships si kwenye Olimpiki...yaani jamaa kwa miaka 8 hajakamatwa hata siku moja?
Ulisoma how Lance aliweza kushinda seven Titles bila kukamatwa?
wengi wanatumia madawa bila kukamatwa
hata Baseball unajua jinsi wengine walikuja kukamatwa baadae saana
au wakalazimika tu kukiri wenyewe
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Usain mpaka sasa hajakamatwa.
Hadi atapokamatwa ndo labda nitaweza kubadili maoni yangu juu yake.
Na kwa nini unahoji kuhusu Usain Bolt na si Michael Phelps...binadamu mwenye medali nyingi zaidi za dhahabu katika historia ya michezo ya Olimpiki?
Usain mpaka sasa hajakamatwa.
Hadi atapokamatwa ndo labda nitaweza kubadili maoni yangu juu yake.
Na kwa nini unahoji kuhusu Usain Bolt na si Michael Phelps...binadamu mwenye medali nyingi zaidi za dhahabu katika historia ya michezo ya Olimpiki?
Mzungu sio zuzu kama huku kwetu[emoji1] [emoji1]nimeangalia YouTube baadhi ya clips kwakweli inashangaza hapo haimaanishi anatumia dawa.
usain bolt ana talent na anafanya sana mazoeziiiii.... anaipenda sana kazi yake lazima aweke ma record tu
Hata Phelps sitashangaa
Gaitlin aliwahi kukamatwa na kuwa suspended still ingawa alitumia drugs hakumshinda Bolt....
Bolt now 29 lakini anawafanya wenzie kama watoto hivi.....
mimi baada ya kuona documentary ya Ben Johnson....simuamini kabisa Bolt....
Bolt ni mrefu...6 foot 5 inches.
Hivyo hatua zake ni kubwa kuliko za washindani wake na kwa sababu hiyo hahitaji hatua nyingi kufikia finish line.
Anahitaji kama 41 hivi huku wenzie wanahitaji kama 44, 45, au hata zaidi.
Genetics zinamsaidia.
Mara ya mwisho kuona sprinter mrefu kiasi hicho lini?
Mbona Lance Amrstrong alikuwa anapimwa na hakukamatwa Seven straight years?
hadi watu wake wa karibu waliposema siri anafanyaje
Hapa naona dalili za ubaguzi wa rangi, Usain Bolt anasakamwa kwa sababu ni mweusi lakini watu kama huyo Phelps na Spitz hawajawahi kushutumiwa.Usain mpaka sasa hajakamatwa.
Hadi atapokamatwa ndo labda nitaweza kubadili maoni yangu juu yake.
Na kwa nini unahoji kuhusu Usain Bolt na si Michael Phelps...binadamu mwenye medali nyingi zaidi za dhahabu katika historia ya michezo ya Olimpiki?