F francis mjuni New Member Joined Nov 22, 2013 Posts 3 Reaction score 0 Nov 22, 2013 #1 Ndugu zangu habari za majukumu, napenda kujua wale walioudhuria interview ya mwezi oktoba TPDC ni aina gani ya maswali yanayoulizwa? kama kuna ambao wana taarifa naombeni mnisaidie jamani, msaada ndugu zangu
Ndugu zangu habari za majukumu, napenda kujua wale walioudhuria interview ya mwezi oktoba TPDC ni aina gani ya maswali yanayoulizwa? kama kuna ambao wana taarifa naombeni mnisaidie jamani, msaada ndugu zangu