Braibrizy
Member
- Apr 6, 2014
- 29
- 548
Kwa mara ya kwanza leo nmewashuhudia invigilators wanacheka , Co poa interview zingine unakuta addition pepa zinaaombwa hadi unashangaa bt leo, utafikir tulikuw tumepewa True or False questions wakati ilikuw ni full maelezo..!
Binafsi mtihan umenitoa jasho coz nlizama sana kusom mambo ya darasani halaf mzgo ukaja Dudu la yuyu..!

Binafsi mtihan umenitoa jasho coz nlizama sana kusom mambo ya darasani halaf mzgo ukaja Dudu la yuyu..!